Happy Birthday Kibunango

NaimaOmari

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
801
46
Happy birthday Dr.

Mungu akujaalie maisha marefu yenye neema na baraka

Hugs buddy
 
Happy birth day Kibunago...wishing long live to blow 80 candles.
 
Kibunango,

Zee la nyeti....Happy besdei to you mwanaa and may you go on to blow
more candles!

1099454450_73e5b21f5c.jpg
 
Adding up numbers....happy birthday Mkuu....
Sasa mbona leo umeingia kule chumbani ilhali we bado mtoto?:D
 
many happy returns of the day!!

may you be happier
healthier
and wiser
than ever!!
 
Wanajamii...
Shukrani kwa heri zenu za dhati...Tupo pamoja katika siku hii ya kukumbuka kuzaliwa kwangu.

Aidha Shukrani kwa Naima kwa kufungua bandiko hili, ila nimeogopa kwa kuandika Dr. kwani Makamanda hawatachelewa kuhoji Dr. hiyo ni ya aina gani...:)

Siku Njema...
 
Write in English please....
 
Happy sweet 16, may you live to blow 101 candles. Sasa party wapi leo?

Happy Birthday.
 
Mpendwa Kibunango, ninakutakia heri na fanaka katika siku yako ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu akujaalie uishi miaka mingi (angalau 120) yenye heri hapa duniani.

Happy Birthday Kibunango.
 
Wanajamii...
Shukrani kwa heri zenu za dhati...Tupo pamoja katika siku hii ya kukumbuka kuzaliwa kwangu.

Aidha Shukrani kwa Naima kwa kufungua bandiko hili, ila nimeogopa kwa kuandika Dr. kwani Makamanda hawatachelewa kuhoji Dr. hiyo ni ya aina gani...:)

Siku Njema...

Ha ha ha naogopa 'kuchema' Dr. Kibunango ni Dr. wa nini ;)
 
Birthdays are good for you. Statistics show that people who have the most live the longest!

Kibunango, growing old is mandatory; growing up is optional, please keep both!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom