Happy birthday Kamanda wa anga

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
988
730
Watanzania na wanachadema kwa umoja wetu,tunaungana kupitia jamiforum kukutakia happy birthday njema kwako kwa kuzaliwa siku kama hii ya leo ambayo watanzania wanatimiza miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika kutoka kwa waingereza.

Kupitia pongezi hizi kwako,tunakuombea maisha marefu na harakati njema za kumuelimisha mtanganyika kutoka ktk ujinga ambao bado atuja kombolewa kutoka kwa watawala.

Peoplees.....power!!!
 
Kamanda ninaye msema hapa si mwingine ambaye anawakilisha wale wote wanaoadhima siku zao za kuzaliwa hii leo. Ni mwenyekiti wa chadema taifa si mwingine bali ni freman mbowe
 
Happy BDay Kamanda, we pray that Allah S.W.T Thy protect the work of your hand til the end of time...Kupitia kwako maadui UJINGA, MARADHI na UMASIKINI utatokomezwa...Tunaimani kubwa kwako Mhe Kamanda wa ukweli usiekuwa na price tag Mgongoni...
 
Happy birthday Mwenyekiti wetu Mbowe tuongoze baba tuko nyuma yako na katibu mkuu wetu Dr. Slaa, kamwe msiyumbe tutafanya lolote mtakalosema ili kuikomboa nchi yetu. Wachieni waliozoea vya kuua waendelee kua panya huko kigoma na panya wa kwa kina kamanda ben saanane
 
HAPPY BIRTHDAY KAMANDA WA ANGA! Watanzania tupo nyuma yako katika kuwakomboa watz ambao wengi wao hawajajitambua bado!
 
Dessert_Happy_Birthday_Commanders_Palace.jpg
 
Happy birthday Mwenyekiti wetu Mbowe tuongoze baba tuko nyuma yako na katibu mkuu wetu Dr. Slaa, kamwe msiyumbe tutafanya lolote mtakalosema ili kuikomboa nchi yetu. Wachieni waliozoea vya kuua waendelee kua panya huko kigoma na panya wa kwa kina kamanda ben saanane

pamoja mkuu
 
Attachments

  • A%20S%20thumbs_up.gif
    A%20S%20thumbs_up.gif
    1.1 KB · Views: 513
Happy BDay Kamanda, we pray that Allah S.W.T Thy protect the work of your hand til the end of time...Kupitia kwako maadui UJINGA, MARADHI na UMASIKINI utatokomezwa...Tunaimani kubwa kwako Mhe Kamanda wa ukweli usiekuwa na price tag Mgongoni...

pamoja
 
Kamanda ninaye msema hapa si mwingine ambaye anawakilisha wale wote wanaoadhima siku zao za kuzaliwa hii leo. Ni mwenyekiti wa chadema taifa si mwingine bali ni freman mbowe

HBD mkuu na tunaomba Mungu akupe maisha marefu yenye impact kwa wengi hasa wale wanaonyanyaswa kwenye nchi zao kama aliyoyaishi mzee Mandela.
 
kwa heshima yake nimelog in. Happy Birthday Kamanda, Mungu azidi kukutangualia. Dhamira safi huzaa kazi zilizobarikiwa. Kazi zilizobarikiwa daima hafutiki. Heshima kwako Freeman Mbowe.
 
Back
Top Bottom