Happy Birthday Joseph Mbilinyi Mbunge uliyeiletea heshima kubwa Mbeya , Mungu akupe Maisha Marefu

Afande Tanzania

JF-Expert Member
May 3, 2020
460
1,000
Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia .

Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa kuongoza watu wasomi , Matajiri na wasio na njaa wa Mbeya ( ikumbukwe kwamba Mbeya hakuna njaa kabisa ), Umekuwa Role Model wa Vijana wengi wa Tanzania , hivi ninavyoongea umeifutilia mbali ccm Mkoa wote wa Mbeya , limebaki Jeshi la polisi na Tume ya uchaguzi tu .

Kwa niaba ya Wanasiasa wa kizazi kipya pamoja na Matajiri wenzangu wa Mbeya Mjini , Tunduma , Tukuyu na Kyela TUNAKUTAKIA A VERY HAPPY BIRTHDAY INDEED .

View attachment 1770393
Ujinga wa Jongwe ule wa mwisho kabisa ndo ujanja wa Kwanza kwa mataga.
Though am late ila Mwenyezi MUNGU amjaalie huyu mwamba umri mrefu
 
ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
12,308
2,000
Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia .

Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa kuongoza watu wasomi , Matajiri na wasio na njaa wa Mbeya ( ikumbukwe kwamba Mbeya hakuna njaa kabisa ), Umekuwa Role Model wa Vijana wengi wa Tanzania , hivi ninavyoongea umeifutilia mbali ccm Mkoa wote wa Mbeya , limebaki Jeshi la polisi na Tume ya uchaguzi tu .

Kwa niaba ya Wanasiasa wa kizazi kipya pamoja na Matajiri wenzangu wa Mbeya Mjini , Tunduma , Tukuyu na Kyela TUNAKUTAKIA A VERY HAPPY BIRTHDAY INDEED .

View attachment 1770393
Hongera yake Tup Claudy....
huyu jamaa alifundishwa mziki na San Jako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom