Mungu ampe maisha marefu ili afanya nini duniani????Mungu ampe maisha marefu
Sijawahi kuona mtu mwenye roho mbaya kama wewe.Mungu ampe maisha marefu ili afanya nini duniani????
Huwezi kuzuia tarehe yako ya kuzaliwa ikifika imefika tu.ndo anayotaka haya, sherehe, kuhudhuria misiba nk. anafanyia nchi gani hii part yake?
Mbona upo siku nyingi tu, acha birthday watu wanasherehekea hata siku ya kufa. Tarehe 14, Oktoba kila mwaka unasherehekea nini?Huu utamaduni wa Watanzania kusherehekea Birthday tulianza lini tena jamani?
Huu utamaduni wa Watanzania kusherehekea Birthday tulianza lini tena jamani?
Wakati wanasherekea utakuwa unapata faida gani.Heri siku ya kufa kuliko kuzaliwa.