Happy Birthday JK!

Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
506
52
Leo ni siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Ninamtakia Birthday njema na Mungu amzidishie siku za kuishi duniani, neema, rehema na busara za kuiongoza Tanzania.
 
Happy B day mzee fanya mambo mazuri kujenga na kurekebisha historia yako na nchi yetu kwa ujumla ,Mungu ukupe siku nyingi za kuishi.
 
Huu utamaduni wa Watanzania kusherehekea Birthday tulianza lini tena jamani?
Mbona upo siku nyingi tu, acha birthday watu wanasherehekea hata siku ya kufa. Tarehe 14, Oktoba kila mwaka unasherehekea nini?
 
Huu utamaduni wa Watanzania kusherehekea Birthday tulianza lini tena jamani?

mkuu nimekupa likes na thanks kabisa kwa kunisaidia kuuliza hili swali, napata shida kuona tunavyoiga mambo ya kijinga badala ya kuiga ujuzi.
 
Star prezidwaa
I love you, jk, and want you to know,
I feel your love wherever I go.
Whenever I've problems, you're there to assist,
The ways you have helped me would make quite a list.

Your wisdom and knowledge have shown me the way,
And I'm thankful for you as I live day by day.
I don't tell you enough how important you are,
In my universe you're a bright shining star.


May the best of your past be the worst of your future.
happy birthday
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom