ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,461
Habarini wandugu
Leo ni siku ambayo haikutegemewa kuwepo machoni petu
Ni siku ambayo ni murua ni siku ambayo tunakumbuka
kipenzi chetu mwenzetu wa mjengoni hapa alitokea duniani
Ni siku ambayo tunamshukuru Mungu pamoja nae kwa
kutuletea kiumbe hapa duniani.
Na siku ambayo tunapongeza mamaye aliyemleta yeye Ben Mugashe
Mungu ampe ulinzi uko aliko.
kwani ni kazi kubwa aliyofanya kwa kufyatua mtoto huyu.
Ni siku iliyojaa furaha na nderemo kumuona member mwenzetu
akijawa na kicheko kwa kukumbuka siku ya kuzaliwa kwake
Nasi kwa pamoja tuunganane na tumtakie heri na fanaka
kipenzi chetu Ben Mugashe kwa kutimiza wingi wa siku .
Nakutakia heri na afya njema na ukue uongezeke kimo
uwe mkubwa kama mm,
Happy Birthday Bestito Ben Mugashe pokea makande
yako haya ingawaje bado ni mchanga utakula tuuu
tunakukukuza zaidi
Na hii zawadi nispecial toka kwa Paloma na mm
cc: Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, Paloma, sister, Heaven on Earth, steven Robert Masaku, kemp, Elli, vivian, KOKUTONA, KakaKiiza, mwallu, Mentor, Erickb52, Mphamvu, Madame B, Chachu Ombara, Munkari, mshanaJr, muuza ubuyu, Maxence Melo, charminglady
na marafiki wote niliowasahau karibuni mumtakie heri mpendwa mwenzetu