Happy Birthda to ME na Wanajamvi wote waliozaliwa LEO!

BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
1,250
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima hadi leo hii na pia nawashukuru Wazazi wangu kwa kunilea vyema hadi leo,Asanteni wazazi wangu.

Nawatakia Birthday Njema wanajamvi wenzangu wanaokumbuka siku ya kuzaliwa kwao leo!
 

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,713
2,000
Happy birthday to you! Mungu akupe hekima ya kujua yaliyomema na mabaya yasete kuzimu. Ni siku muhimu kwako sana, je ni wapi ulikwazika/kwaza ili ufanye upatanishi? Hakuna aliyemwema, inawezekana una kinyongo na mtu, bila kufanya upatanishi leo hii siku ya kuzaliwa utakuwa umeipoteza.

Fanya haraka. Samehe uli usamehewe.

Amen.
 

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,099
2,000
Happy bday kwako...Mola akujalie maisha marefu yaliyojaa furaha na mafanikio...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom