Happiness...

BlackBerry

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
1,839
956
Happiness is what u perceive..Have ur own checklist and once a substantial part of it is fulfilled then you are Happy!... Be happy my friend, cause no matter how long we wait, the World is Not Enough...

Huna haja ya kung'ang'ania usipopendwa, na hasa kama hapakupi furaha yeyote ile akikuzingua we anza mbele, muda unaenda sana jamani, mwisho tutajikuta tunaota moto na wajukuu hatuna hata story nzuri za kuwapa za ujanani...

Penda unapopendwa usipopendwa achana napo, huu msemo tunauona ni old fashion lakini umebeba maana nzito sana wandugu,pia unaweza jipa raha mwenyewe kwa kufanya mambo uyapendayo na bado ukawa mtu mwenye furaha sana, sio lazima kila tunapoongelea happiness ndio lazima uwe na mpenzi....

Wapendwa wa MMU mmefanya kitu gani mpaka sasa cha kuwafanya muwe wenye furaha muda wote????.... tafakari
 
Wou i like that BB
Penda unapopendwa usipopendwa achana napo
I do that and i love someone who love me to and return my love i gave her and am happy and she is happy too
 
blackberry kwema pande hzo? Umepoteasana mkuu! thanx kwa ushauri mzuri wenye maneno matamu, kwa kweli kama binadamu twaitaji furaha, binafsi nafuraha na nafurahia maisha, kwa upande wangu yapo sawa!
 
blackberry kwema pande hzo? Umepoteasana mkuu! thanx kwa ushauri mzuri wenye maneno matamu, kwa kweli kama binadamu twaitaji furaha, binafsi nafuraha na nafurahia maisha, kwa upande wangu yapo sawa!
Nafurahi nikisikia marafiki wana furaha sana, nipo sana tu, naona htukutani humu
 
Wou i like that BB
Penda unapopendwa usipopendwa achana napo
I do that and i love someone who love me to and return my love i gave her and am happy and she is happy too
Thats all matter Mr Rocky, wewe uko happy na yeye yuko happy maisha yanaendelea
 
kuna upande mwengine,ku type maneno ni rahisi kuliko vitendo,unaweza ukasema hivi,yakikukuta yale yote uliyoyasema huyatimizi.
Ni kweli kabisa kisukari, ila jaribu na kujaribu hakuna kukata tamaa mpenzi, ukishindwa huna budi ila ndio hivo tena unakuwa unapitwa na mengi
 
kajiswali kwako BB,ukiwa katika mahusiano na mkaingia kipindi ukahisi njemba haikupi happiness kama mwanzo ina maana utampotezea fasta fasta au relationship utaipa chance?
 
Kutaka niwe na furaha wakati woote ni kitu napenda mno.... But i have grown up and realised haiwezekani for tumekua watu wazima with lots of responsibilities.... Ukiwa ni Mke... ama mama.. daughter or sister... (karibu na wale unao wapenda) nakuta na nimetambua furaha yangu peke yangu haitoshelezi... Hivo hujitahidi saana kujenga mazingira ya amani kwangu na my loved ones.... hizo efforts saa ingine hufanya kazi, saa ingine u-bounce but uzuri ni kua unakuta kuna moments (tena nyingi) MUNGU hujalia all my loved ones namimi pia kua na furaha... basi hapo i live the Moment... na kufurahi to the MAXIMUM....
 
hiyo bold nayo ni tosha kukufanya uwe happy, asha furaha ni kwa kila rika haijalisji umekua, umezeeka, una family au vipi, just find something that can makes you happy mydia
 
Happiness in life is linked to comparisons we make. If you're always comparing what you have to the holdings of those who have more; you'll feel lacking; if you compare yourself to those less fortunate you'll have a sense of abundance being grateful for what you have can definitely promote happiness it can also relieve stress
 
Back
Top Bottom