BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 956
Happiness is what u perceive..Have ur own checklist and once a substantial part of it is fulfilled then you are Happy!... Be happy my friend, cause no matter how long we wait, the World is Not Enough...
Huna haja ya kung'ang'ania usipopendwa, na hasa kama hapakupi furaha yeyote ile akikuzingua we anza mbele, muda unaenda sana jamani, mwisho tutajikuta tunaota moto na wajukuu hatuna hata story nzuri za kuwapa za ujanani...
Penda unapopendwa usipopendwa achana napo, huu msemo tunauona ni old fashion lakini umebeba maana nzito sana wandugu,pia unaweza jipa raha mwenyewe kwa kufanya mambo uyapendayo na bado ukawa mtu mwenye furaha sana, sio lazima kila tunapoongelea happiness ndio lazima uwe na mpenzi....
Wapendwa wa MMU mmefanya kitu gani mpaka sasa cha kuwafanya muwe wenye furaha muda wote????.... tafakari