Inasikitisha kuona watu wakishaoana unakuja kugundua mambo ambayo yanaleta matatizo Kwenye ndoa ,physical abuse,emotional abuse etc.ukiolewa na mtu uliemjua .marriage is an institution take it seriously before you register"

mhm sasa hapa kuna tatizo...atakaye kujua vizuri ni amabye amekuwa rafiki yako yet hapo hapo tunasema kuwa man and lady cnt just be friends....kha!! kazi tunayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.