TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Kumbuka zile ni reported case,unajuaje labda sirikali inapima walioonyesha symptoms tu ,na sio kila mtu kila mtaa ???au wamejiwekea utaratibu kwamba tutakuwa tunatangaza kila wiki???au wanaweza wakawa wanapima watu harafu kila mwezi ndio wanatangaza???Akisema serikali inaficha data haimaanishi kwamba anazo data zake za maambukizi, waliopona na vifo. Hapana!
Serikali kuficha data ni kwamba haiwezekani tangu April 22 kusiwe na data! haijalishi data hiyo ni nzuri au mbaya isemwe tu baas, nadhani since tarehe hiyo hapo hakuna taarifa yoyote, basi hiyo ndio data tunayoitaka sisi.
Kumbuka yale sio matangazo ya vifo ni reported cases tu.