Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

Yani watu mlivo na uchu wa kuonesha kile mnacho kiamin mmeshindwa hata kupiga picha hayo makanur 60 najua huu ni usanii

Sent using Jamii Forums mobile app

Yapo zaidi ya 60 huwezi kupiga picha maana wale wajimbaji wa jiji wamechanganywa na nyoka sasa jichanganye umdhalau sababu kachoka utajuta

Kila siku.wanazika sio chin.ya kumi na wanaanza kuzika saa 1jioni
 
Hivi najiuliza toka 22 April hakuna hata taarifa ya hali ya Corona Bara? Ukweli hali ni kiza. Mengi tunayasikia sana. Kuna mtu alienda Kondo kuzika ndugu alikufa kwa Corona ulikuwa usiku. Kifupi ulinzi ni mkali picha au video huchukui kabisa. Na wale vijana wachimba makaburi aliweza kumpa jamaa roughly figure ya maiti walizochimbia kaburi!!!!!!!!! Hapo achia Mlonganzila, Buza na kwingine. Ukweli uko wapi? Ukweli tutafanya watu wajikinge zaidi kuliko sasa mtaani watu wanachukulia poa maana hakuna taarifa halisi. Tuwakinge watanzania jamani. Huu uchumi unajengwa na watanzania.

Kuna fundi mmoja naye wanatokea mitaa ya huko Ununio naye ana yake yakusema. Kwa nini tuishi kwa Tetesi tu bila taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka.? Mungu Ibariki Tanzania.
Very dangerous yanaanzg kama siri mwisho anfchua msanii#roma
 
Ukisema sirikali inaficha data inamaana ww unadata zako!basi tupe data zako tukuamini.

JF kuna mijitu vilaza sana mpk najuta kwa nn nilijiungaga humu,mijitu inalopoka bila facts na data ili kupata umaarufu.
 
Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na surikali.

Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao.

Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba.

NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask.

Update..

Update...
"Waliokufa nchi nzima hawazidi 10 , wa kwanza ni Idd Mbita "
 
Hata India na duniani kote ni hivyo tu
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ukisema sirikali inaficha data inamaana ww unadata zako!basi tupe data zako tukuamini.

JF kuna mijitu vilaza sana mpk najuta kwa nn nilijiungaga humu,mijitu inalopoka bila facts na data ili kupata umaarufu.
Akisema serikali inaficha data haimaanishi kwamba anazo data zake za maambukizi, waliopona na vifo. Hapana!

Serikali kuficha data ni kwamba haiwezekani tangu April 22 kusiwe na data! haijalishi data hiyo ni nzuri au mbaya isemwe tu baas, nadhani since tarehe hiyo hapo hakuna taarifa yoyote, basi hiyo ndio data tunayoitaka sisi.
 
Hii ngoma itatutia akili wale wa kulaumu kila jambo midomo itawakauka kama wewe unaona unasikia bado unataka serikali ikuambie ili uchukue tahadhali!! Naamini tunakoelekea kila kitu kitakwenda automatic.

Pamoja na yote lakini hatari ni waliougua ugonjwa huu na kujisikia wamepona alafu wakaruhusiwa kurudi makwao huko kwenye vituo jinsi madaktari wanavyojikinga na wagonjwa hao ni hatari sidhani kama familia zinauwezo wa kujikinga dhidi ya mgonjwa.

Na mnaosifia kila uwehu?
 
Back
Top Bottom