Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

Maneno gani haya wana jamii forum,ebu tuweni na nadhari na kujali hisia za wengine,
Huyu member ameelezea alichokiona na kilicho mkuta kama mfiwa,wewe unampa majibu haya ya kindava undava.Utu uko wapi.
Tuweni waangalifu,
Alikusudia kututanabahisha ukweli wa korona kuwa inapukutisha watu,na wenye mamlaka wanatuficha kitu.
Sasa wewe umeshikilia picha ,picha.
Huamini Tomaso?
Kuweni na Moyo wa kuwaamini watu na kuacha kebehi,Corona Haina Macho inapenya kila mahali
Its Air born desease.
Mkuu siasa uchwara zinazofanywa na CCM mpya zimeharibu vijana wetu sana.Ila Mungu ni mwema kwa kuwa nao wapo nchi hii na kwa kuwa corona haichagui ,acha tuone .Mungu yupo kazini
 
Maneno gani haya wana jamii forum,ebu tuweni na nadhari na kujali hisia za wengine,
Huyu member ameelezea alichokiona na kilicho mkuta kama mfiwa,wewe unampa majibu haya ya kindava undava.Utu uko wapi.
Tuweni waangalifu,
Alikusudia kututanabahisha ukweli wa korona kuwa inapukutisha watu,na wenye mamlaka wanatuficha kitu.
Sasa wewe umeshikilia picha ,picha.
Huamini Tomaso?
Kuweni na Moyo wa kuwaamini watu na kuacha kebehi,Corona Haina Macho inapenya kila mahali
Its Air born desease.
Right... and this is a sign of a bigger problem in the society.
 
Ina maana mpaka leo hujaambiwa na serikali kuwa kuna ugonjwa wa korona na unaua? Matangazobya jinsi ya kuchukua tahadhari kila mahali mbona yako? Hukumuona waziri mkuu akiutangaza rasmi?
Labda una la ziada la kwako ila suala la kuficha ugonjwa serikali haijaficha na hata wanaofiwa wanashirikishwa japp kwa kiasi kidogo kama tahadhari...
Toeni data kamili ili raia wajue ukubwa wa tatizo.
 
Maneno gani haya wana jamii forum,ebu tuweni na nadhari na kujali hisia za wengine,
Huyu member ameelezea alichokiona na kilicho mkuta kama mfiwa,wewe unampa majibu haya ya kindava undava.Utu uko wapi.
Tuweni waangalifu,
Alikusudia kututanabahisha ukweli wa korona kuwa inapukutisha watu,na wenye mamlaka wanatuficha kitu.
Sasa wewe umeshikilia picha ,picha.
Huamini Tomaso?
Kuweni na Moyo wa kuwaamini watu na kuacha kebehi,Corona Haina Macho inapenya kila mahali
Its Air born desease.
Anazua taharuki ili iweje, kwani angezika kimya kimya angepungukiwa nini?, pia kajuaje hao si ndugu wa marehemu mmoja hadi aseme 10?
 
Anazua taharuki ili iweje, kwani angezika kimya kimya angepungukiwa nini?, pia kajuaje hao si ndugu wa marehemu mmoja hadi aseme 10?

Sikupenda kukujibu lakini hiyo sehemu ina makabari ya watu zaidi ya 60 waliotutoka kwa huu ugojwa, na hayo makaburi yapo katikati.ya pori la kondo chini, ya miti yaani machakani

Na leo wamezika wengi wengi tu
 
Toeni data kamili ili raia wajue ukubwa wa tatizo.
Kama mpaka sasa hujajua ukubwa wa tatizo, hustahili kuambiwa lolote. Ujinga wako ni mzigo wako. Yaani kila tv kila media si tanzania si sehemu zingine za dunia habari ni balaa la korona wewe unasema hujajua ukubwa wake! Mimi nashauri serikali iendelee hivi hivi ili majinga yaendelee kuwa majinga!
 
Baada ya kupitia comments mbalimbali kwenye uzi huu nime gundua mboga mboga ni tatizo kubwa sana kuliko haya maradhi.
 
Kimyaaaaaaa
Ukweli ukidhihiri ........................
Jama ni tuchukue tahadhari
''Watu wanapukutika '' kasema Makonda
 
Back
Top Bottom