Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

The Saver

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
202
650
Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na surikali.

Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao.

Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba.

NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask.

Update..

Ni kweli usemacho na mvua inanyesha mbaya, mi nimeona gari mbili nyeupe sijui ndio zinaitwa box board zinaingia hapo na pembeni kuna magari mengine mingi na video ninayo.

Update...

Unabisha Nini Sasa ilihali haupo mitaa iliyotajwa? Limepita Lori la city council na kijiko Cha kuchimbia kuelekea kondo mchana huu wa mvua kubwa! Acha kutafuta sifa za kijinga wakati watu wanaongelea facts! Cha msingi jikinge uwakinge na wengine!

nathibitisha kuona magari
[/QUOTE

Case closed ....tujilinde sisi na familia zetu ili dude linauwa
 
Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na serikali

Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao

Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba

NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask
Naam tahadhari ni muhimu sana kipindi hiki
 
Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na serikali

Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao

Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba

NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask
Habari bila picha hainogi.....leta picha....
 
Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na serikali

Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao

Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba

NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask
Uongo uliokithiri ambao huwezi kuthibitisha. Unatafuta umaarufu usiokuwa na tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo uliokithiri ambao huwezi kuthibitisha. Unatafuta umaarufu usiokuwa na tija

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mimi.sitafuti umaarufu wala siitaji

Kama unabisha njoo makaburi ya.kondo ukiwa unatokea chini mitaa ya kanisa katoriki la st. Andrew, njoo moja kwa moja mpka mwisho wa makaburi kwa juu utaona mwenyewe
 
Kuna mtu kaambiwa yeye kazi ni kuzungusha, nyonyo.. Sasa sijajua anamaanisha nini. Chukua tahadhari na ujikinge maana hata ukifa serikali bado itakusanya kodi kwa kuwa ndio jukumu lao la kwanza kwenye kununua jeneza lako na kwenye mafuta yatakayotumika kukusafirisha na kukuzikia
 
Back
Top Bottom