Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

battawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
2,044
2,000
Kimyaaaaaaa
Ukweli ukidhihiri ........................
Jama ni tuchukue tahadhari
''Watu wanapukutika '' kasema Makonda
 

The hitman

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
3,538
2,000
Sina mashaka na taarifa yako Ila nina swali moja la msingi... Huyo ndugu yako alikuwa na maradhi mengine tofauti na Corona?

Nataka nijue Kama hili gonjwa linaweza kumng'oa mtu hata Kama Hana magonjwa mengine
Inawezekana kumng'oa mtu bila ya wasiwasi wowote
 

Simabwachi

JF-Expert Member
Mar 31, 2017
306
500
Kuna mdau hapo juu kaweka video.
Kuna watu wapo makaburini wamevaa mask na kuna ambulance na mashada ya maua na mmisalaba.
Haijulikani hao waliozikwa hapo Ni wangapi.
Cha kushangaza hadi mmisalaba na mashada ya maua wamewekewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

nilidhani umetengenezwa ili uwe unapinga tuu, sasa nimegundua unapinga kwa kua hujui kinachofanyika baada ya mtu kufariki kwa corona ktk hospital/vituo vilivyotengwa:
1. akiwa hospital unawasiliana nae kwa simu chakula unawacha getini, atathibitisha amepat - huonani nae
2. akifariki utapigiwa simu kuwa amefariki then unaelekezwa makaburi atakapoenda zikwa
3. as family mnapewa maelekezo namna ya kushiriki mazishi, na mnapewa nafasi ya watu wa3 mpk wa5 kwa kulazimisha: akiwemo Mchungaji/Sheikh/Padri yani hamzidi wa5 so unaposikia hawazid watu10 ujue wale wa sirikali pia wamejumuishwa coz ata sanduku watabeba wao na kulitumbukiza wao hamuoni mwili
4. kwa wa Kristo mnaruhusiwa kuwa na sanduku km mnataka na mnafanya Ibada km mazishi mengne - but ibada fupi maana jamaa hawana mda
5. sanduku mnatangulia hapo makaburini mlipoelekezwa (Ununio ndipo nina ushahid napo), mnasubiri sirikali ifike
6. maiti zikifika mnawakabidhi sanduku wanaenda muweka kisha wanalishusha kaburini wenyewe
7. mnaitwa mnaonyeshwa sanduku lenu lilipowekwa na ndipo mnaanza ibada fupi na mashada mnaweka

***inshort mnakua hamuelewi/au kuamini kua mnaemzka ni ndugu yenu au laa, maana huoni kitu

unavyoambiwa asipopona hutamuona tena ni kweli - wanasema maiti ni hatari zaidi kwa maambukizi kuliko mtu hai
 

dega

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,572
2,000
Nyie ndo mashushu wenyewe.
Nashauri mtoa mada kama upo eneo husika.
Kabda hamjazuiliwa na Ku serchiwa cm na nani alietoa bandiko jf.
Log out jf na ufute app ya jf kwa mda .mpaka ukitoka eneo husika.
Wanga watakuwa wapo hapo.na wana mpango huo hapo juu.
Woga unaua zaid ya corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
420
500
Sikupenda kukujibu lakini hiyo sehemu ina makabari ya watu zaidi ya 60 waliotutoka kwa huu ugojwa, na hayo makaburi yapo katikati.ya pori la kondo chini, ya miti yaani machakani


Na leo wamezika wengi wengi tu
Hapa ndo wanapobugi. Hii kitu haikupaswa kufichwafichwa hivi. Ilitakiwa watu waone ili wajue ukubwa wa hili tatizo.

Hakukuwa na haja ya huku kufichaficha.

Kuna mji huko Ukrain kiongozi wao aliamua kuwandaa wananchi wake kwa kuchimba makaburi kama mia 6 na kuwaandalia rambo za kuzikia kabisa kama wakifa. Hii ilitosha kuwaandaa wananchi kuwa siriaz hii sunami.

Tembelea hapa uone mwenyewe hii habari

Ukrainian City Digs Mass Graves For Potential Coronavirus Victims


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom