Hapo vipi

Shiwawa jabry

Member
Mar 17, 2011
20
0
Mungu ibariki tanzania wabariki viongozi wetu heshma umoja na amani munguuu warehem wasafiri wote wa mv spice ibariki tanzania- tuwarehemu watoto wa mv spice
 
Hapo poa! ila huwa hatuimbi "HESHMA umoja na amani" bali ni "HEKIMA umoja na amani".
 
Mungu ibariki tanzania wabariki viongozi wetu heshma umoja na amani munguuu warehem wasafiri wote wa mv spice ibariki tanzania- tuwarehemu watoto wa mv spice
Hapo kwenye Red unamaanisha na viongozi wa Bandarini Wakiwemo wale walio ruhusu Meli itoe nanga kuanzia Dsm hadi Unguja na Unguja to Nungwi Pemba?
Hapo Poa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom