Hapo ulipo kuna mapenzi ya kweli au unachunwa?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,270
40,080
Hapo ulipo kuna mapenzi ya kweli au unachunwa?
Wanaume wengi tumekuwa katika mahusiano tukiamini tunapendwa kwa dhati, kumbe kwa upande mwingine tunapendwa kwa sababu tunatoa huduma fulani; inapokuja kutokea changamoto za kiuchumi hasa kuyumba kwa kipato, hapo ndipo mtu anapokuja kugundua alipendewa kile alichonacho. Je katika mahusiano yako ya sasa,ni kweli unapendwa au unachunwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom