Kirchhoff JF-Expert Member Nov 4, 2010 5,365 7,606 Oct 27, 2017 #2 Unaisha chap. Mi ndo nikiwastukia nikawapiga picha.
trigeminal JF-Expert Member Jan 9, 2015 1,920 2,197 Oct 27, 2017 #4 Hapo mwenye haki ya kufanya hivo ni huyo mmoja tu wa kinguo chenye red
mwenye shamba JF-Expert Member May 31, 2015 972 1,669 Oct 27, 2017 #5 ninavyowakazaga sidhani kama wataweza
uhurumoja JF-Expert Member Mar 2, 2014 5,173 9,088 Oct 28, 2017 #7 Wakiyarusha ndio utacheka unaweza kuta yakaishia hapo hapo na wakampiga mwenzao wa mbele
Dr Dre JF-Expert Member May 23, 2015 2,556 2,585 Oct 29, 2017 #8 hao wa pembeni talaka yao hapohapo wangepata alafu nakufa na huyo wa kati
Sagungu 1914 JF-Expert Member Jun 21, 2016 930 579 Oct 30, 2017 #10 itakuwa kuna jamaa labda kawatafuna wote halafu mwisho wa siku wakajuana,kwa hiyo akitokea tu wanaye.
itakuwa kuna jamaa labda kawatafuna wote halafu mwisho wa siku wakajuana,kwa hiyo akitokea tu wanaye.
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,553 9,530 Oct 31, 2017 #12 Yaani hapo ukitokea ghafla wanaweza kutimka bila hata kuyatumia hayo mawe