Hapo ndiyo mjue kwanini Jeshi la Polisi Tanzania linabezwa

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,629
5,134
Hawajakamata wala kumwita UVCCM yeyote alotoa maneno ya uchechezi wa mauwaji kuanzia mwenyekiti wao UVCCM na wengineo kwenye lower ranks.

Ingekuwa hizo kauli zimetolewa na vijana au wabunge wa upinzani wangeisha dakwa siku nyingi na kuoneshwa oneshwa mbele ya makamera huku msajili wa vyama akitoa makaripio na vitisho vya kufuta chama husika.

Serikali ya CCM wanaendesha inchi kama makaburu. Jeshi la polis linabagua likamate yupi , limwogope yupi kwakosa hilohilo. Kwanini wasichukiwe. Hata jeshi la makaburu lilichukiwa
 
Hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM.
 
Anajiona mzalendo sana kwa kuongea Maneno ya aina ile na kutishia watu wauwawe kisa tu anafikili yeye ni mzalendo sana? Ana madaraka leo lakini ajue kesho IPO, na kwenye Siasa kesho IPO, kauli zake ndio z itakuwa chanzo cha anguko lake. Sijawahi kuona mwenyekiti wa UVCCM mshamba kama Kheri James.
 
kagoshima,
Mkuu umenena ukweli ,ccm imejirithisha Tanzania means they will rule until Jesus come back,huku wanajidanganya mno na umesema ukweli kauli hii ingetolewa na upande wa pili leo tungeshuhudia Polisi wakiinua mikia yao,na elewa makaburu hawakuwa makatili sana kuliko makatili hawa ya CCM, but wakati ni ukuta hawa yana mwisho kuna generation ya watanzania hawataburuzwa kama hii ya kwetu, ni kosa la kijinai kumtishia mtu kifo,Tanzania ya upendo imekwisha,

Tanzania ya watu kuvumiliana kiitikadi imekwisha,Tanzania ya kuvumiliana kiimani imekwisha(kumbuka miaka ile ikitaka kula kiti moto lazima usafiri kwenda kimara but now mbele ya makao makuu ya bakwata kiti moto.

unakipata!)anakotupeleka our no 1 binafsi ninaona ndio tunaingia kwenye giza totoro,na ninabet hapa mpaka miaka 5 yake inakwisha hakuna project yeyote kubwa atakayoimaliza sio ujenzi wa HEP pale selous(mimi ninapinga hili ),ujenzi wa ule uchafu wa pale ubungo zile barabara sio ,ujenzi wa reli ,ohooo bomba la mafuta kutoka Uganda to Tanga.
 
Kheri James ni kijana mpumbafu sana..anajiona mzalendo sana kwa kuongea Maneno ya aina ile na kutishia watu wauwawe kisa tu kwenye bichwa lake lile anafikili yeye ni mzalendo sana? Ana madaraka leo lakini ajue kesho IPO, na kwenye Siasa kesho IPO, kauli zake ndio z itakuwa chanzo cha anguko lake. Sijawahi kuona mwenyekiti wa UVCCM mjinga na mshamba kama Kheri James.
Anajivunia mjomba. Anahisi na yeye anaongoza nchi
 
Hawajakamata wala kumwita UVCCM yeyote alotoa maneno ya uchechezi wa mauwaji kuanzia mwenyekiti wao UVCCM na wengineo kwenye lower ranks.
Ingekuwa hizo kauli zimetolewa na vijana au wabunge wa upinzani wangeisha dakwa siku nyingi na kuoneshwa oneshwa mbele ya makamera huku msajili wa vyama akitoa makaripio na vitisho vya kufuta chama husika.
Serikali ya CCM wanaendesha inchi kama makaburu. Jeshi la polis linabagua likamate yupi , limwogope yupi kwakosa hilohilo. Kwanini wasichukiwe. Hata jeshi la makaburu lilichukiwa

Sasa naanza Kuelewa ni kwanini IGP ameshaomba mara kadhaa ' Kustaafu ' kama si ' Kupumzika ' katika hicho Cheo lakini anakataliwa na Mwalimu na Mkemia.
 
Anajivunia mjomba. Anahisi na yeye anaongoza nchi
Ni mjomba wake? Ndio maana kifupi ka akili zake, nachukia sana binadamu anaeona Sawa kuuwa watu kisa tu wanakosoa serikali, kuna justification ya serikali kutoa maisha ya watu ila sio kwa sababu za kijinga, Mara MTU kakosoa PhD, Mara huyu ana tweet Instagram kuikosoa serikali, kama unauwa hao, na wanaopanga ugaidi juu ya taifa utafanyaje? Suala LA binadamu kupinga lipo tu, na watu kupinga haiwezi zuia treni SGR isifike Dodoma, au bwawa LA nyerere lisiishe kujengwa. Watutolee maushamba yao hapa! Trump anapigwa na kutukanwa tweeter lakini kapunguza unemployment marekani mpaka 4%!
 
Yes mjomba mtu.
 
Hahaha sasa mgeonyesha hasira hizo kwa vitendo, mkichukia tu mkajifungia ndani na hasira zenu haisaidii.
Fanyeni mambo kieleweke jamani, mtalialia mpaka lini?!
 
Sasa naanza Kuelewa ni kwanini IGP ameshaomba mara kadhaa ' Kustaafu ' kama si ' Kupumzika ' katika hicho Cheo lakini anakataliwa na Mwalimu na Mkemia.
Pia atakuwa kanusa 2020 anaweza pewa maagizo ya kuwaumiza watanzania wenzake na mwisho akajiweka katika hatari ya kushtakiwa kimataifa kwa kesi za mateso na mauaji. Ukizingatia ni mwanasheria na mwenye hofu ya Mungu
 
Hilo la Yeye kuwa Mwanasheria nakubaliana nawe kwa 100% ila hilo laYeye kuwa na Hofu ya Mungu nakukatalia kwa 100% pia.
 
Sasa naanza Kuelewa ni kwanini IGP ameshaomba mara kadhaa ' Kustaafu ' kama si ' Kupumzika ' katika hicho Cheo lakini anakataliwa na Mwalimu na Mkemia.
Namjua Sirro ni miongoni mwa watu wa dini, hawezi kukubali kuongoza jeshi linalopangiwa nani limkamate nani limuache. Msimamo ni sifa kuu ya watu wa Mara, namuunga mkono anatakiwa kustaafu awaachie wanafiki kina Mambisasa wa Rukwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe haikuhusu au wewe ni kada?Unadhani kila anayechukia uonevu wa jeshi la polisi ni mwanachama wa chama cha siasa?
Hahaha wapi nimesema au kutaja siasa?! Nimemsema nani mwanasiasa?!
Yani tatizo ni kuona kila kitu kisiasa, kasafishe macho na akili urudi uandike upya.
 
Back
Top Bottom