Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

Shaka langu lipo wapi?.....kwani mwanzo wa mtu ni kitu gani?
Mtu alitokana na nini? Na hicho kilichosababisha mtu atokee kilitokana na nini? Then rudi mpaka upate jibu, ukistuck then jua kuna nguvu iliyosababisha hayo.
 
UKWELI UNATISHA SANA. ...AMANI NA UPENDO IWE NASI MILELE YOTE
 
Ulitaka ajitambulishe vipi kwa watu wake? Hata sisi wanadamu tukipewa utawala kila mtu atatumia akili zake ingawa tunabanwa na katiba sasa Mungu hacccccccccccccccccccna Latina
Unaweza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu?

Kama Mungu angekuwa kweli tungemwamini naturally bila kufundishwa.....ingekuwa natural kama vile kupumua.
 
Wanaolazwa vitandani ni wale wasio mwamini Mungu tu?..........kumbe wengi wenu mnamwamini Mungu kwa kulazimishwa na vitisho?

Hicho sio kitisho Bali ni mfano wa uhalisia wa maisha ya mwanadamu, katika raha tunasahau na kukataa uwepo wa Mungu, dunia inapotuchapa na kutuhafifisha ndipo tunakumbuka na kutambua ukuu wake.
Sikulazimishi kuamini kile ninachoamini, ila maadam umeandika kwa vidole vyako mwenyewe kuwa hakuna Mungu, basi muda utaongea, kwa namna moja au nyingine ipo siku atajidhihirisha kwako, Mungu ni wa utaratibu, si lazima leo, mwezi huu au hata mwaka huu, ila ipo siku utatambua uwepo na ukuu wake.
 
Nisipo mkuta poa, nikimkuta nitamuuliza kwanini aliishi mbali na watu.
Kuamini kwa mashaka ni kupoteza muda.
MAX SHIMBA AMEANDIKA HAHALI FULANI HIVI:-

Kuna imani nyingi sana hapa duniani, zingine zinadai kuwa "Hakuna Mungu" eti, kwasababu wameshindwa kuongea nae na au kumwona; Imani zingine zinadai kuwa "Hakuna Mungu" eti kwasababu Sayansi inashindwa kuhakikisha uwepo wake scientifically; Imani zingine zinadai kuwa, kivipi Yesu awe Mungu na biandamu kwa wakati mmoja, zinadai eti, Mungu halali, wala hali chakula, lakini wakati huo huo wanakiri kuwa Mungu anaweza kufanya jambo lolote lile atakalo; Haya yote ni madai ambayo hawawezi kuyathibitisha.
Hebu tusome Biblia:
2 Samweli 2:31-34 na Zaburi 14:1 ‘Mpumbavu amesema moyoni, mwake hakuna Mungu…..’ Mpenzi msomaji naamini unaendelea vema kwa ujumla kimwili na kiroho. Katika mwezi huu nataka niseme nawe juu ya kifo cha kipumbavu.
Mpumbavu ni nani? Kibiblia ni mtu yoyote aliyekataa kuwa na ufahamu au elimu ya Mungu ndani yake. Mtu aliyekataa uwepo wa Mungu au kuwa na Mungu maishani mwake.
Hivyo basi mpumbavu ni mtu ambaye moyoni mwake amesema hakuna Mungu. Mauti inayomkuta mtu ambaye amekana elimu au ufahamu au uwepo wa Mungu katika maisha yake ni mbaya sana, maana mwisho wake ni Jehannam. Mauti inayommkuta mtu kabla hajakubali uwepo wa Mugu katika maisha yake. Kifo kinachomkuta mtu ambaye hajampa Mungu nafasi ya utawala moyoni mwake mwisho wake ni ziwa la moto. Je wewe unataka kuishi milele yote kwenye ziwa la moto?
YESU ANAKIRI KUWA YEYE NI MUNGU KATIKA KITABU CHA UFUNUO:
Ufunuo 1:17 na Ufunuo 22:13
Mimi ni wa kwanza na wa mwisho
Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.
Ni Mungu TU ndiye mwenye uwezo wa kuwa wa kwanza na wa mwisho; Yesu ni Alfa na Omega. Kwa hiyo Yeye ni Mungu.
Ukikataa kuwa Yesu sio Mungu, basi wewe ni mmoja wa lile kundi la Wapumbavu. Katika Zaburi, tumeambiwa kuwa Mpumbavu kasema kuwa Hakuna Mungu.
Tujifunze kwa Abneri. 2 Samweli 2:22-39 ukisoma vema hapa utaona habari za shujaa mmoja aliyeitwa Abneri. Kwa kifupi Abneri alikuwa;
Kiongozi wa majeshi ya Sauli, mpinzani mkubwa wa Daudi, baadaye alipelekea Daudi kuitawala Israeli yote, Alimwua Asaheli shujaa wa Daudi ndugu yake Yoabu, kiongozi wa majeshi wa Daudi. Na mwishowe Yoabu ndiye aliyemwua Abneri ili kulipiza kisasi cha kifo cha nduguye.
Sasa baada ya kifo cha Abneri, ndipo Daudi akamlilia Abneri akasema, ilimpasaje Abneri kufa afavyo mpumbavu?, mikono yako haikufungwa wala miguu yako haikutiwa pingu; aangukavyo mtu mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka.
Ukiendelea kusoma habari hii utaona kwamba siku ile Daudi alikataa kula akimliilia Abneri, akisema hamjui ya kuwa mkuu mmoja, naye ni mtu mkubwa ameanguka leo katika Israeli?
Je kwa mazingira ya leo, mtu anawezaje kufa kifo cha kipumbavu?Unaposhindwa kutumia fursa zilizopo kuiponya nafsi yako matokeo yake ni kifo cha kipumbavu. Abneri hakufungwa mikono wala miguu lakini aliuawa. Daudi alikuwa akimuuliza Abneri kwa nini usitumie mikono na miguu yako kuiponya roho yako? .
Katika Zaburi 14;1 TUMEONA MPUMBAVU NI MTU YULE AMBAYE MOYONI MWAKE AMESEMA HAKUNA MUNGU, kwa lugha nyepesi amekataa kuwa na Mungu moyoni mwake na kwa sababu hiyo amekataa uongozi wa Mugu katika maisha yake.

Kibiblia mtu wa namna hii anapokufa anaenda kuzimu na si paradiso au mahali pema peponi. Kumbe kwa lugha nyepesi mtu ambaye anakufa katika dhambi zake wakati fursa ya kuzitubu au kuziacha kabisa ilikuwepo ndiye anakuwa amekufa kifop cha kipumbavu.
Mpango wa Mungu ni kukuokoa kutoka katika dhambi ili usije ukafa kifo cha kipumbavu na ukaenda kuzimu kwenye mateso makali. Yohana 3:16 inasema ‘kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipoteee bali awe na uzima wa miele.
Neno ‘asipotee’ linawakilisha kifo cha kipumbavu . Mungu alimtoa Yesu ili wewe usife kifo cha Kipumbavu, kifo cha bila kumpa Mungu nafasi katika maisha yako.
Hivyo basi, Yesu ni fursa ya wewe kuitumia ili usife kifo cha kipumbavu. Kwa nini ufe katika dhambi yako, wakati Yesu yupo tayari kuiokoa nafsi yako isiangamizwe? Je ndugu yangu itakufaa nini kuupata ulimwengu wote na mali zake zote huku ukiaangamiza nafsi yako mwenyewe?
Abneri alishindwa kutumia mikono na miguu yake kama fursa iliyokuwa mbele yake kwa wakti ule, akafa kifo cha kipumbavu. Usiwe kama Abneri itumie fursa ya kuja kwa Yesu vema, fanya maamuzi ya kumwamini kama Bwana na mwokozi wako.
Baba yangu, mama yangu, kaka yangu, dada yangu, na rafiki yangu nakuomba kwa jina la Bwana usikubali kufa kifo cha kipumbavu, usikubali mauti ikukute kabla hujampa nafasi Yesu ya kutawala maisha yako. Mshahara wa dhambi ni mauti na baada ya kifo ni hukumu, je utakuwa mgeni wa nani siku ile?
Mungu ameniongoza nikuandikie ujumbe huu maana yeye hafurahii kifo cha mwenye dhambi, kwa sababu mtu anapokufa katika dhambi yake anatengwa na Mungu milele kwa sababu hakuna kuokoka baada ya kufa, ni hukumu tu tena ya kutisha. Siku ya kufa kwako ndiyo mwisho wa dunia kwako.
Usikubali kufa kifo cha kipumbavu , maana mpumbavu amesema hakuna Mungu katika moyo wake, bali wewe moyoni mwako mpe Mungu nafasi katika Jina la Yesu atawale maisha yako
Mtu alimuumba Mungu katika fikra zake ili awe kielelezo cha mambo yote yaliyokosa majibu kwa upeo wa watu.
Mungu alipewa sifa zote za kiutu kama vile huruma, chuki, upendo, ukatili, hasira, wivu, majuto, ushindani n.k.
Kutokana na sifa ya ushindani kuwa ni kipimo cha nguvu za Mungu, mtu alimuumbia Mungu mshindani, naye ameitwa Shetani.Mtu akajijengea imani kuwa matendo yote anayoyatenda anongozwa na Mungu iwapo ni mema au na Shetani iwapo ni mabaya.

Mungu na Shetani sii vitu halisi bali ni 'Idea' za watu.Mungu na Shetani hawajawahi kuonekana, kusikika, kuhisika, ama kushikika popote.
Idea ya uwepo wa Mungu imekuwa ikirithishwa kwa watu [Theists] wakiwa kwenye umri mdogo zaidi na kwa vitisho vya ya kwamba kama wasipomwamini Mungu basi wataishi maisha ya tabu pamoja na kuingia kwenye moto wa milele watakapokufa[Hakuna uthibitisho hata chembe wa kuwepo kwa hivyo vitisho].

Kutokana na watu mbalimbali kujitengenezea picha tofauti kwenye fikra zao juu ya Mungu, yameibuka makundi mbalimbali ya watu wenye mitazamo tofauti juu ya sifa za Mungu, sheria zake pamoja na mapenzi yake kwa watu. Makundi hayo ni dini na madhehebu yasiyo na idadi yanayodai kumwamini Mungu mmoja lakini jambo la kushangaza huyo Mungu ana waongoza watu kwa utofauti mkubwa sana.Hizo dini na madhehebu yake zimekuwa zikihubiri sifa chanya za Mungu na hasi za Shetani ambazo haziendani na uhalisia.

Idea ya uwepo wa Mungu na Shetani imekuwa ikiaminishwa kwa watu badala ya kueleweshwa hivyo kukosekana kwa ushahidi juu ya kuwepo kwa Mungu pamoja na mpinzani wake Shetani.
Pindi mahojiano juu ya uwepo wa Mungu yanapoibuka, Mungu hutetewa na watu badala ya kujitetea mwenyewe.

Mungu na Shetani sii halisi[kweli] bali ni fikra za watu ambazo hazina uhalisia wowote.
Nje ya fikra za watu hakuna Mungu wala Shetani..........Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake.
 
Mtu alitokana na nini? Na hicho kilichosababisha mtu atokee kilitokana na nini? Then rudi mpaka upate jibu, ukistuck then jua kuna nguvu iliyosababisha hayo.
Siwezi kustuck maana nitakuwa najiuliza hiyo nguvu ilitokana na nini?
Halafu kukosekana kwa jibu juu ya swali flani hakutoi nafasi ya kutunga nadharia kama jibu mbadala.

Tatizo la dini ni kwamba maswali yote yanajibiwa bila tafiti.
 
Hicho sio kitisho Bali ni mfano wa uhalisia wa maisha ya mwanadamu, katika raha tunasahau na kukataa uwepo wa Mungu, dunia inapotuchapa na kutuhafifisha ndipo tunakumbuka na kutambua ukuu wake.
Sikulazimishi kuamini kile ninachoamini, ila maadam umeandika kwa vidole vyako mwenyewe kuwa hakuna Mungu, basi muda utaongea, kwa namna moja au nyingine ipo siku atajidhihirisha kwako, Mungu ni wa utaratibu, si lazima leo, mwezi huu au hata mwaka huu, ila ipo siku utatambua uwepo na ukuu wake.
Ambao meshaa mtambua mnaweza kututhibitishia uwepo wake?
 
MAX SHIMBA AMEANDIKA HAHALI FULANI HIVI:-

Kuna imani nyingi sana hapa duniani, zingine zinadai kuwa "Hakuna Mungu" eti, kwasababu wameshindwa kuongea nae na au kumwona; Imani zingine zinadai kuwa "Hakuna Mungu" eti kwasababu Sayansi inashindwa kuhakikisha uwepo wake scientifically; Imani zingine zinadai kuwa, kivipi Yesu awe Mungu na biandamu kwa wakati mmoja, zinadai eti, Mungu halali, wala hali chakula, lakini wakati huo huo wanakiri kuwa Mungu anaweza kufanya jambo lolote lile atakalo; Haya yote ni madai ambayo hawawezi kuyathibitisha.
Hebu tusome Biblia:
2 Samweli 2:31-34 na Zaburi 14:1 ‘Mpumbavu amesema moyoni, mwake hakuna Mungu…..’ Mpenzi msomaji naamini unaendelea vema kwa ujumla kimwili na kiroho. Katika mwezi huu nataka niseme nawe juu ya kifo cha kipumbavu.
Mpumbavu ni nani? Kibiblia ni mtu yoyote aliyekataa kuwa na ufahamu au elimu ya Mungu ndani yake. Mtu aliyekataa uwepo wa Mungu au kuwa na Mungu maishani mwake.
Hivyo basi mpumbavu ni mtu ambaye moyoni mwake amesema hakuna Mungu. Mauti inayomkuta mtu ambaye amekana elimu au ufahamu au uwepo wa Mungu katika maisha yake ni mbaya sana, maana mwisho wake ni Jehannam. Mauti inayommkuta mtu kabla hajakubali uwepo wa Mugu katika maisha yake. Kifo kinachomkuta mtu ambaye hajampa Mungu nafasi ya utawala moyoni mwake mwisho wake ni ziwa la moto. Je wewe unataka kuishi milele yote kwenye ziwa la moto?
YESU ANAKIRI KUWA YEYE NI MUNGU KATIKA KITABU CHA UFUNUO:
Ufunuo 1:17 na Ufunuo 22:13
Mimi ni wa kwanza na wa mwisho
Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.
Ni Mungu TU ndiye mwenye uwezo wa kuwa wa kwanza na wa mwisho; Yesu ni Alfa na Omega. Kwa hiyo Yeye ni Mungu.
Ukikataa kuwa Yesu sio Mungu, basi wewe ni mmoja wa lile kundi la Wapumbavu. Katika Zaburi, tumeambiwa kuwa Mpumbavu kasema kuwa Hakuna Mungu.
Tujifunze kwa Abneri. 2 Samweli 2:22-39 ukisoma vema hapa utaona habari za shujaa mmoja aliyeitwa Abneri. Kwa kifupi Abneri alikuwa;
Kiongozi wa majeshi ya Sauli, mpinzani mkubwa wa Daudi, baadaye alipelekea Daudi kuitawala Israeli yote, Alimwua Asaheli shujaa wa Daudi ndugu yake Yoabu, kiongozi wa majeshi wa Daudi. Na mwishowe Yoabu ndiye aliyemwua Abneri ili kulipiza kisasi cha kifo cha nduguye.
Sasa baada ya kifo cha Abneri, ndipo Daudi akamlilia Abneri akasema, ilimpasaje Abneri kufa afavyo mpumbavu?, mikono yako haikufungwa wala miguu yako haikutiwa pingu; aangukavyo mtu mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka.
Ukiendelea kusoma habari hii utaona kwamba siku ile Daudi alikataa kula akimliilia Abneri, akisema hamjui ya kuwa mkuu mmoja, naye ni mtu mkubwa ameanguka leo katika Israeli?
Je kwa mazingira ya leo, mtu anawezaje kufa kifo cha kipumbavu?Unaposhindwa kutumia fursa zilizopo kuiponya nafsi yako matokeo yake ni kifo cha kipumbavu. Abneri hakufungwa mikono wala miguu lakini aliuawa. Daudi alikuwa akimuuliza Abneri kwa nini usitumie mikono na miguu yako kuiponya roho yako? .
Katika Zaburi 14;1 TUMEONA MPUMBAVU NI MTU YULE AMBAYE MOYONI MWAKE AMESEMA HAKUNA MUNGU, kwa lugha nyepesi amekataa kuwa na Mungu moyoni mwake na kwa sababu hiyo amekataa uongozi wa Mugu katika maisha yake.

Kibiblia mtu wa namna hii anapokufa anaenda kuzimu na si paradiso au mahali pema peponi. Kumbe kwa lugha nyepesi mtu ambaye anakufa katika dhambi zake wakati fursa ya kuzitubu au kuziacha kabisa ilikuwepo ndiye anakuwa amekufa kifop cha kipumbavu.
Mpango wa Mungu ni kukuokoa kutoka katika dhambi ili usije ukafa kifo cha kipumbavu na ukaenda kuzimu kwenye mateso makali. Yohana 3:16 inasema ‘kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipoteee bali awe na uzima wa miele.
Neno ‘asipotee’ linawakilisha kifo cha kipumbavu . Mungu alimtoa Yesu ili wewe usife kifo cha Kipumbavu, kifo cha bila kumpa Mungu nafasi katika maisha yako.
Hivyo basi, Yesu ni fursa ya wewe kuitumia ili usife kifo cha kipumbavu. Kwa nini ufe katika dhambi yako, wakati Yesu yupo tayari kuiokoa nafsi yako isiangamizwe? Je ndugu yangu itakufaa nini kuupata ulimwengu wote na mali zake zote huku ukiaangamiza nafsi yako mwenyewe?
Abneri alishindwa kutumia mikono na miguu yake kama fursa iliyokuwa mbele yake kwa wakti ule, akafa kifo cha kipumbavu. Usiwe kama Abneri itumie fursa ya kuja kwa Yesu vema, fanya maamuzi ya kumwamini kama Bwana na mwokozi wako.
Baba yangu, mama yangu, kaka yangu, dada yangu, na rafiki yangu nakuomba kwa jina la Bwana usikubali kufa kifo cha kipumbavu, usikubali mauti ikukute kabla hujampa nafasi Yesu ya kutawala maisha yako. Mshahara wa dhambi ni mauti na baada ya kifo ni hukumu, je utakuwa mgeni wa nani siku ile?
Mungu ameniongoza nikuandikie ujumbe huu maana yeye hafurahii kifo cha mwenye dhambi, kwa sababu mtu anapokufa katika dhambi yake anatengwa na Mungu milele kwa sababu hakuna kuokoka baada ya kufa, ni hukumu tu tena ya kutisha. Siku ya kufa kwako ndiyo mwisho wa dunia kwako.
Usikubali kufa kifo cha kipumbavu , maana mpumbavu amesema hakuna Mungu katika moyo wake, bali wewe moyoni mwako mpe Mungu nafasi katika Jina la Yesu atawale maisha yako
Vitabu vya dini viliandikwa na watu ili kutunza fikra za watu wa kale na kuzirithisha kwa vizazi vijavyo.

Ni vitabu venye mikanganyiko ambavyo havina mantiki.

Ni vigumu kupata majibu sahihi kutoka kwenye vitabu vya dini.
 
Nilikuwa siamini kama Shetani anazaa na wanawake ila sasa naamini, maana wewe ni Mnefili
 
Inasemekana Adam ndio binadamu wa kwanza na yeye alimjua Mungu, sasa je Adam ndie aliemuumba Mungu na ALIKUA akihofia nini mpaka akachukua uamuzi huo.
 
Nilikuwa siamini kama Shetani anazaa na wanawake ila sasa naamini, maana wewe ni Mnefili
Kuna uwezekano nikawa Baba yako mzazi ingawa uwezekano wa mimi kuzaa tahira kama wewe ni mdogo mno.
 
Back
Top Bottom