donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
.
Kwa hiyo aache kusoma au?Mwambie unemployment ipo inamsubiria kwa hamu
Kwa hiyo aache kusoma au?
Misuse of resources and time
Upuuzi mtupu,hata kama ajira hamna ila bado shule zina umuhimu sana.Kwa hiyo aache kusoma au?
Ni graduation kweli,nimeona video yake imetrend Sana WhatsApp.Babrojohanson hiyo.Kama kweli ni graduation hiyo si ajabu huko mbeleni ikaigwa na wengi japo kwangu haijanipendeza.
Duuh! Waliamua aiseeee.Japo sisi wa hali za kawaida huenda ndio tukawa tunaona ni jambo la ajabu huku wenyewe wanaona ni sahihi kuja na utofauti.Ni graduation kweli,nimeona video yake imetrend Sana WhatsApp.Babrojohanson hiyo.