Hapati period

upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
Wana jf nina mpenzi wangu hjapata period kwa miezi kadhaa sasa na hata ajisikii lolote labda ni dalili ya ujauzito kama ilivo fikra zetu na anafanya shughuli zake kama kawaida na mambo yetu yalee kama kwaida ila hapo tu tunashindwa kuelewa why why
 
Yap mkuu inaweza kutokea hivyo kutokana na sababu mbali mbali,

1)Kazi zinasababisha mwanamke kukosa period kwa kipindi fulani inaweza kutokea hata mwezi mmoja
2)Kuna dawa wanawake huwa wanatumia ambazo wanaweka kwenye mikono yao inakuwa kama sindano hivi huwa ni ya kuzuia mimba kwa mda wa mwaka mmoja au 2 hiyo pia huwa inakata period anaweza asipate hata miezi 6 na kushuka chini.......
3)Dawa zozote ambazo zinazuia mimba huwa na zenyewe zikasababisha mwanamke kukosa mimba
4)Mwanamke kukosa period kwa wakati ambao anategemea huwa ni kawaida......
5)Zaidi kama hizo list nilizoweka hapo hana hata moja basi atakuwa ana mimba na mkamuone doctor mapema sana kabla haijawa kubwa zaidi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom