Hapana wabunge wetu - mambo binafsi ni sehemu ya maadili ya uongozi

buckreef

JF-Expert Member
Mar 19, 2010
309
0
maneno ya Mheshimiwa Nassari:
"Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), alitaka Wabunge waache kuzungumzia masuala binafsi ya Wabunge ndani ya bunge hilo, kwa kuwa endapo Wabunge wote wakiamua kuzungumzia masuala binafsi ya Wabunge hao, Bungehilo halitokalika.

Kuna mambo mengi yanafanyika huko nje, tukiyaleta huku ndani hapatakalika. Wapo watu wanahusichwa na mambo chungu nzima ya uvunjaji wa maadili. Wako hapa wanahususishwa na uhusiano na watoto wadogo."

Maoni yangu:
Mheshimiwa Nassari anataka mambo yao binafsi yasijadiliwe bungeni hata pale wanapokiuka maadili ya uongozi? Ukiwa kiongozi, basi mambo yako binafsi ambayo yanaenda kinyume na maadili ya uongozi, ni ruhusa kabisa kujadiliwa..
 

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,935
2,000
Haka Ka-Chalii na kenyewe kamekuwa ka msukule cha Lema na Mbowe. Elimu yake ya chuo kikuu ameiweka kando na kujitoa ufahamu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom