HAPANA Sikubali, Hivi ni Kweli Watanzania hatuna Akili ya kujua pumba na mchele? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HAPANA Sikubali, Hivi ni Kweli Watanzania hatuna Akili ya kujua pumba na mchele?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LGMJAMII, Nov 5, 2010.

 1. L

  LGMJAMII Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haliniingii Akilini kuwa watanzania hatujui pumba ipi au mchele upi?, kwani hata kusikia hatusikii au hata kuona hatuoni?, HAPANA. Au watu wamelogwa?
   
 2. N

  NINAHASIRA Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani hapa kuna kulogwa!! But itafika cku tuu ukombozi utatufikia na aliyetuloga atakamatwa!
   
Loading...