Hapa Tanzania, Makundi mengi ya WhatsApp ni ya hovyo sana

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Tanzania tunatumia muda mwingi sana kusearch udambwi dambwi kuliko mambo ya maana yanayoweza kutupatia maendeleo na pesa.

Unakuta mtu ana mpaka groups za Clubs/ bars /ngono na yupo busy sana.

Watu hawapendi kujiunga na kujadili mambo yanayoweza kutupatia pesa , mambo yanayoweza kupunguza shida zetu.

Magroups ya harusi hovyo sana. Ujinga mtupu.

Tunamaliza MBs za bure kujadili ujinga ujinga. Eti Mabaharia !
 
Ina depend na mtu na mtu na interest zake, btw mfano personal, group ambalo mwingine hataliona lna umuhimu ni la man utd officials,ndani hadi wastaafu wa epl(players n officials),wabongo tupo 3 tu,atleast kenyans km 30.
Unakuta mtu mwingine starehe yake sio soka ni p*ssy, lazima ukute awe na gallery km p*ornstar vile
 
Tanzania tunatumia muda mwingi sana kusearch udambwi dambwi kuliko mambo ya maana yanayoweza kutupatia maendeleo na pesa.

Unakuta mtu ana mpaka groups za Clubs/ bars /ngono na yupo busy sana.

Watu hawapendi kujiunga na kujadili mambo yanayoweza kutupatia pesa , mambo yanayoweza kupunguza shida zetu.

Magroups ya harusi hovyo sana. Ujinga mtupu.

Tunamaliza MBs za bure kujadili ujinga ujinga. Eti Mabaharia !

Ungese mtupu.
hata kujadili jambo kama hili uoni tunarudi kulekule kujadili ujinga na sio mambo ya maendeleo ?
 
mzee wa hivi punde mbona haulali usiku mzito hivi ?
Tanzania tunatumia muda mwingi sana kusearch udambwi dambwi kuliko mambo ya maana yanayoweza kutupatia maendeleo na pesa.

Unakuta mtu ana mpaka groups za Clubs/ bars /ngono na yupo busy sana.

Watu hawapendi kujiunga na kujadili mambo yanayoweza kutupatia pesa , mambo yanayoweza kupunguza shida zetu.

Magroups ya harusi hovyo sana. Ujinga mtupu.

Tunamaliza MBs za bure kujadili ujinga ujinga. Eti Mabaharia !

Ungese mtupu.
 
Sipendi Whatsapp groups, ni member wa magroup mawili tu kwasasa ambayo members wake ni Waelewa, na huwa wanajadili vitu vya msingi na ni mara chache, Kwahiyo hakuna usumbufu.
 
Tanzania magroup ovyo ebu tuambue inchi gani magroup siyo ovyo tujiunge maana naona mnapenda kukosoa vitu ambavyo exposure nayo hamna vya kutosha ila unamua tu kwa interest zako kukikosoa, mwingine utakisia kutumia face book ushamba come on utafiti UPI huo unesema hivyo wewe kama umeona kitu furani akikufai acha watumie mwenzako .
 
Mimi ninazo group za WhatsApp lakini ni STRICTLY BUSINESS... hakuna mada nyingine... Kuna baadhi wamejitoa kisa tu wamezuiwa kutuma vitu wanaita mambo muhimu ya kitaifa kama misiba ajali nk... Usipokuwa mkali kwenye hizi group unapoteza malengo na group kuonekana la hovyo
 
Karibu kwenye group langu ' kukopeshana bila riba'

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Kiingilio 50/=. 😛😛
 
Yaani mm hata group la development sina lol,nna ma3 tuu la family na la huduma ya Kiroho+la biashara zangu baasii,maana hayo magroup mengine ukiingia tuu unakutana na mauchi ya watu😒group linaitwa "future ya maendeleo" lakini humo ndani ni mauchi-uchi tuu..
 
Tanzania tunatumia muda mwingi sana kusearch udambwi dambwi kuliko mambo ya maana yanayoweza kutupatia maendeleo na pesa.

Unakuta mtu ana mpaka groups za Clubs/ bars /ngono na yupo busy sana.

Watu hawapendi kujiunga na kujadili mambo yanayoweza kutupatia pesa , mambo yanayoweza kupunguza shida zetu.

Magroups ya harusi hovyo sana. Ujinga mtupu.

Tunamaliza MBs za bure kujadili ujinga ujinga. Eti Mabaharia !

Utakuwa tajiri sana wewe, maana unataka kuongelea maendeleo tu.
 
Ndio umejua leo
Tanzania tunatumia muda mwingi sana kusearch udambwi dambwi kuliko mambo ya maana yanayoweza kutupatia maendeleo na pesa.

Unakuta mtu ana mpaka groups za Clubs/ bars /ngono na yupo busy sana.

Watu hawapendi kujiunga na kujadili mambo yanayoweza kutupatia pesa , mambo yanayoweza kupunguza shida zetu.

Magroups ya harusi hovyo sana. Ujinga mtupu.

Tunamaliza MBs za bure kujadili ujinga ujinga. Eti Mabaharia !
 
Yaani mm hata group la development sina lol,nna ma3 tuu la family na la huduma ya Kiroho+la biashara zangu baasii,maana hayo magroup mengine ukiingia tuu unakutana na mauchi ya watugroup linaitwa "future ya maendeleo" lakini humo ndani ni mauchi-uchi tuu..

Mtu unakosa adi uhuru wa kufungia text unapokuwa public ..
 
Back
Top Bottom