Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Tanzania tunatumia muda mwingi sana kusearch udambwi dambwi kuliko mambo ya maana yanayoweza kutupatia maendeleo na pesa.
Unakuta mtu ana mpaka groups za Clubs/ bars /ngono na yupo busy sana.
Watu hawapendi kujiunga na kujadili mambo yanayoweza kutupatia pesa , mambo yanayoweza kupunguza shida zetu.
Magroups ya harusi hovyo sana. Ujinga mtupu.
Tunamaliza MBs za bure kujadili ujinga ujinga. Eti Mabaharia !