Hapa tanzania hakuna mwanamuziki ninayemkubali kama joseph haule a.k.a profesa jay

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,505
671
Na leo nimesikia wimbo wake wa kipi sijasikia ukipigwa clouds radio!!

Kifupi huyu jamaa anaweza sana, mashairi yake yamejaa ubunifu, ujumbe, kuburudisha, jamaa ninamkubali sana tena sana, since nipo primary nimekuwa nafatilia sana nyimbo zake mpaka sasa nimehitimu chuo kikuu kifupi mpaka nipata degree ya kwanza jamaa bado yupo on fire!!

Ninazo kanda zake toka enzi za hbc machoz jasho na damu, mapinduzi halisi aluta continua n.k

respect to you prof jay
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom