Hapa Tanzania Hakuna mtihani Mgumu kama wa kidato cha nne

Sangatitti

JF-Expert Member
Apr 5, 2020
488
1,148
Hapa Tanzania hakuna mtihani, Mgumu kama wa kidato cha nnehata watu waliokuwa na vyeti feki vilikuwa vya kidato cha 1V hii inaonesha kuwa paper la Four ni balaa na nusu.

Pia Ukiangalia matokeo ya resitters wengi wanaishiaga kupata. Zero kama sio Four za 30

Daraja la Elimu ya Tz liko Form Four.

Sasa hivi hata ukitaka kazi ya Ulinzi wanataka uwe na cheti cha Form Four.
 
Back
Top Bottom