Hapa Nimeshindwa Kumuelewa Masoud Kipanya....

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Hello! JF Member

Mimi huwa mfuatiliaji mzuri wa kazi za Masoud Kipanya hususani michoro yake (cartoon) ambazo huwa zinabeba content fulani ndani yake

Hapa nimewawekea picha ambayo sikuweza kuitafsiri mpaka leo

Unaweza pia kutupia kazi zake nyingine hapa
images%20(16).jpg
 
Sio kila kitu lazima uelewe, wakati mwingine ni mawazo yake ambayo wewe huwezi kuyaelewa au kuelewa anawaza nini hadi akwambie.

Sasa tatizo ni pale unataka uelewe kila katuni kitu ambacho hakiwezekani.

Na wakati mwingine sio kila katuni ina maana ya kueleweka, wakati mwingine ni jambo ambalo halina maana yoyote ila kwa kua ni mawazo yake huna sababu ya kuhangaika kujua alimaanisha nini.
 
Upinzani umezamishwa majini

Una nguvu ya kutoka hapo ilipozamishwa sema ndio hvy
Kaa anamng'ata kisigino hata akifanikiwa kujiokoa basi walau achechemee Nchi kavu

Kuna Kono la kina 'Sirro' kuhakikisha anazama

Samaki anajiandaa nae …

Hii ni tafsiri yangu
 
Upinzani unateguliwa miguu na viumbe visivyojulikani kaa sijui, samaki au mdudu, hajulikani tu. Samaki ni mwananchi anaona na kutumbua mimacho kwa yanayoendelea kwa mpinzani. Huo mkono Ni mkono wa dola unaukandamiza upinzani ushindwe kupumua na ikiwezekana ufe kabisa kwakukosa hewa.
 
Hello! JF Member

Mimi huwa mfuatiliaji mzuri wa kazi za Masoud Kipanya hususani michoro yake (cartoon) ambazo huwa zinabeba content fulani ndani yake

Hapa nimewawekea picha ambayo sikuweza kuitafsiri mpaka leo

Unaweza pia kutupia kazi zake nyingine hapa View attachment 1522495
Hii ngumu hasa ukizingatia hakuweka vihusisha (hint) vyovyote. Ni ya lini? Pengine tutaweza kuihusisha na muda/ tukio
 
Upinzani unateguliwa miguu na viumbe visivyojulikani kaa sijui, samaki au mdudu, hajulikani tu. Samaki ni mwananchi anaona na kutumbua mimacho kwa yanayoendelea kwa mpinzani. Huo mkono Ni mkono wa dola unaukandamiza upinzani ushindwe kupumua na ikiwezekana ufe kabisa kwakukosa hewa.
Asee wewe nimekuelewa mkuu
 
Sio kila kitu lazima uelewe, wakati mwingine ni mawazo yake ambayo wewe huwezi kuyaelewa au kuelewa anawaza nini hadi akwambie.

Sasa tatizo ni pale unataka uelewe kila katuni kitu ambacho hakiwezekani.

Na wakati mwingine sio kila katuni ina maana ya kueleweka, wakati mwingine ni jambo ambalo halina maana yoyote ila kwa kua ni mawazo yake huna sababu ya kuhangaika kujua alimaanisha nini.
Nashukuru kwa ushauri
 
Hello! JF Member

Mimi huwa mfuatiliaji mzuri wa kazi za Masoud Kipanya hususani michoro yake (cartoon) ambazo huwa zinabeba content fulani ndani yake

Hapa nimewawekea picha ambayo sikuweza kuitafsiri mpaka leo

Unaweza pia kutupia kazi zake nyingine hapa View attachment 1522495
Anasema ccm inaendelea kumzamisha mnyonge huku mwenyekiti wake akiwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwamba yeye ni mtetezi wao
 
Back
Top Bottom