genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 248
Wakuu navutiwa kusoma medicine UDSM lakini nina wasiwasi mwembamba kuwa sitapata nafasi kutokana na ufaulu wa wastani: division two ya kumi PCB.
Hivi naweza kupata UDOM kwa medicine?? maana hiyo ndiyo the only chance niliyonayo kwani vya private sina uwezo mimi ni maskini sana. Nataka nikipata boom nifanye project zangu.
Asanteni