Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

Ukimpa mwanamke mimba Hajakutafuta Jua kuna boya mwingine mwenye Uwezoo wake lakini Kutia mimba ni changamotoo..!! Otherwise hakuna Upuuzi kama huo
 
Kama unajua jina lake
Mtafute hata facebook
Kule ina unganisha marafiki ama watu wenye uhusiano
 
Kwaio tupo kama wa3 aliyeilea mimba akaruka baada yakutofanana na mtoto, mimi na the actual father??
Posible mzee, maana si rahisi miezi yote ya mimba awe kimya then uambiwe mtoto ana miezi 3, kimuhemuhe cha hawa viumbe wakiwa na mimba yako si cha mchezo. Hapo anataka kukuangushia jumba bovu.
 
Kuna best yangu nae alibeba mimba ya mtu akampotezea
Nimemshauri amshirikishe huyo mtu
Anasema hatak stress za wanaume watoto wake ni faraja tosha(alipata mapacha)
 
Posible mzee, maana si rahisi miezi yote ya mimba awe kimya then uambiwe mtoto ana miezi 3, kimuhemuhe cha hawa viumbe wakiwa na mimba yako si cha mchezo. Hapo anataka kukuangushia jumba bovu.

Siyo wote
Inategemea na lengo la mtu kubeba mimba
 
Kuna best yangu nae alibeba mimba ya mtu akampotezea
Nimemshauri amshirikishe huyo mtu
Anasema hatak stress za wanaume watoto wake ni faraja tosha(alipata mapacha)
Ukishasema tuu ataanza kuja kuleta kiwingu!
 
Mkuu nikuulize tafadhali, baada ya yoooote hayo bado unadhani una mtoto hapo? au kwani huna uwezo wakupata wengine?
Mwanake asiku stress kwa mtoto kama alitaka mbegu umeshampa umejitahidi kujisogeza amegoma kwa sababu anazozijua yeye,kwa ufupi umejitahidi songe mbele mkuu yeye ata ji sort.
 
Amini hivyo hivyo!
DadekiiMe kuna mshkaji wangu alikuwa Mwarabu flani hivi limama likampa na hela karibu mil kuwa ampe tu mimba bhasi wapotezeane..!! lakini jamaa akapiha hesabu kuna leo na kesho hujui nini kitatokea sasa jimama linapokuja kumleta mtoto mambo yamekuwa magumu ndo balaa
 
Usijiaminishe hivyo, wala hatokaa ajue! Nikishajua imenasa basi, na namba nabadili kabisaaa
Dogo hawajuia wanawake, hasa wanaojiweza na kapenda Chata la mwanaume???
Shida anadate na wenye njaa au vibinti vidogo tegemezi
 
DadekiiMe kuna mshkaji wangu alikuwa Mwarabu flani hivi limama likampa na hela karibu mil kuwa ampe tu mimba bhasi wapotezeane..!! lakini jamaa akapiha hesabu kuna leo na kesho hujui nini kitatokea sasa jimama linapokuja kumleta mtoto mambo yamekuwa magumu ndo balaa
Kila mtu ana malengo yake, na watu hawafanani kabisa!
Mpaka mtu apate wazo hilo jua ana mipango yake!
 
Dogo hawajuia wanawake, hasa wanaojiweza na kapenda Chata la mwanaume???
Shida anadate na wenye njaa au vibinti vidogo tegemezi
Bora wewe useme!
Nimetafuta kwa miaka kumi sababu ya mwanangu, leo nikamjulishe mwenye mtoto aanze kutusumbua hell no...,wala hatojua! Bidada kakosea kukujulisha na huko aliko anajuta!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom