Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 6,964
- 13,571
Wenyeji watwambie ni mtaa gani huu!?!
Karibu
Karibu
muulize mpiga picha
Wewe mzima kweli?
Baharia umeona mbali sana, nimeangalia pia nimeona ni mzungu, mwanzo sikung'amua hilo.Hapo angekuwa binti mweusi wangemchapa bakora
Hapo angekuwa binti mweusi wangemchapa bakora
Hapo angekuwa binti mweusi wangemchapa bakora
Kibanda maiti hapoMtaa wa Mchambawima hapo
Mkuu mbane atwambie kavaa nguo gani ya ndani usisahau kunitag.Baharia umeona mbali sana, nimeangalia pia nimeona ni mzungu, mwanzo sikung'amua hilo.
Bila shaka ukiangalia vizuri tena utatuambia kavaa nguo ya ndani au la!
Pamoja na aliye kulia kwa huyo mama anawahi puchu 2Huyo Sheikh aliyeweka mikono nyuma bila shaka alikuwa mdomo wazi hapo.