Haswaa ni karibu ya korogweKaribu na Korogwe kabla hujafika Korogwe ukiwa unatokea Moshi
Mbona kiswahili kigumu jamani
kumbe ndiyo maana watu wanapata
div 10? hapo ni barabarani
swali lako ungeuliza hivi
Waungwana hii barabra ya kuelekea wapi?
majanga matupu. samahani kama ntakukwaza.
Halafu watanzania masikini wa kutupwa,hivi tungeishi jangwani ingekuaje?
asante mkuu, ila mimi nilisoma shule za english media so sijui kiswahili cha kujibu mtihani