Hapa ni wapi waungwana

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
419446_3400053007037_1374776545_n.jpg
 
Halafu watanzania masikini wa kutupwa,hivi tungeishi jangwani ingekuaje?
 
Mbona kiswahili kigumu jamani
kumbe ndiyo maana watu wanapata
div 10? hapo ni barabarani
swali lako ungeuliza hivi
Waungwana hii barabra ya kuelekea wapi?
majanga matupu. samahani kama ntakukwaza.

asante mkuu, ila mimi nilisoma shule za english media so sijui kiswahili cha kujibu mtihani
 
Halafu watanzania masikini wa kutupwa,hivi tungeishi jangwani ingekuaje?


Sikia mkuu. Tanzania si nchi masikini isipokuwa bad governance na corruption ya CCM ndiyo inaangusha hii nchi. Jiulize tu, toka tumepata uhuru mpaka sasa karibia miaka 52 kuna nini cha maana CCM wamekifanya? Nchi hii imejaaliwa kila kitu toka ardhi, wanyama wa kuvutia ambao wengine jamabazi Kinana anawaua, madini na rasilimali kibao ila viongozi wa CCM ndiyo wanawekeza huko kwa kuingia mikataba feki huku wakifirisi nchi. Kwa kweli inasikitisha sana.
 
asante mkuu, ila mimi nilisoma shule za english media so sijui kiswahili cha kujibu mtihani

Mbona umekiandika sasa basi swali lako ungeuliza kwa english huna lolote eti english media wakati umesoma madongo kuinama si nlikuwa nakuona ukienda na kurudi? acha kudanganya wakubwa ntakuchapa wewe!.
 
Kwa kweli hapo ni barabarani, ila kama ingeulizwa eneo hilo na lipo mkoa gani basi ningejibu ni Mkoa wa Tanga.
 
Mbona kiswahili kigumu jamani
kumbe ndiyo maana watu wanapata
div 10? hapo ni barabarani
swali lako ungeuliza hivi
Waungwana hii barabra ya kuelekea wapi?
majanga matupu. samahani kama ntakukwaza.

Hajakosea swali, waliojibu ndo wamekosea majibu, kauliza hapa ni wapi? jibu ni barabarani
 
Hapo ni mkoani Njombe wilaya ya Makete, kuna baridii usipime mzazi wangu!!!
 
asante mkuu, ila mimi nilisoma shule za english media so sijui kiswahili cha kujibu mtihani

na ndio maana uko ndani ya gari kama hilo lililoko mbele yako na unaendeshwa ndo maana umeweza kupiga picha...hongera lazima utakuwa mmoja ya kati ya watu wanaotafuna hii nchi...hongera sana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom