Hapa ni mkoa gani?

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,440
12,294
Nije jibu hapa ni wapi na mkoa gani?
 

Attachments

  • 1417541526147.jpg
    1417541526147.jpg
    78.5 KB · Views: 1,424
Hapo ni mkoa wa Njombe hilo jengo lipo Makete Ikonda kijiji cha luchala. Idawa anapafaham vizuri. Karibuni mgao wa escrow
 
Nije jibu hapa ni wapi na mkoa gani?

Ayiii jamani.......sasa hiyo miti nitapajuaje sasa.......hakuna clear picture........haya na wewe niambie hapa ni wapi........?
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    12.2 KB · Views: 624
Hapo ni kanisa katoliki misheni ya Mkowe wilaya ya Rwangwa huko kusini ya Tanzania ( LINDI )
 
Back
Top Bottom