Hapa ndipo TAHLISO ilipofikia, inahuzunisha sana

Naima Naimani

Member
Aug 23, 2014
39
147
Ndugu mdau hebu toa maoni yako kuhusu hii TAHLISO.

Kumbe ndio maana boom linachelewa, mpka leo wanachuo hawajui watajiandikishaje kwenye daftari la kura. Kumbe TAHLISO ipo chini ya UVCCM??

THIS IS SHAME!
 
Kumbe ndio maana boom linachelewa, mpka leo wanachuo hawajui watajiandikishaje kwenye daftari la kura.
Kumbe TAHLISO ipo chini ya UVCCM???
THIS IS SHAME.
Kale malimao
 
Fafanua, imefikaje fikaje hadi kuwa chini ya UVCCM? Na wewe ulitaka iwe chini ya nani? Kwani boom huwa linawahi kipindi Tahliso ikiwa chini ya chama gani?
 
Toa ufafanuzi iko uvccm VP na mmecheleweshewa boom kivipi na kucheleweshewa boom inahusikaje na viongozi wenu
 
Wewe mpuuzi kweli! Yani wanachuo na utu uzima wao hawajui wanajiandikishaje? Mbona mnapenda sana kufanya watu mabwege!?!

Yani eti mwanachuo asubiri hicho kijumuiya kitoe muongozo wa namna ya kujiandikisha!?!

Tutolee upuuzi hapa.
 
Vyuo vinafungwa wanachuo wanarudi mikoani kwao lakini ikumbukwe kwenye baadhi ya mikoa uandikishaji umeshamalizika sasa wanachuo wa mikoa husika watapataje haki yao ya kupiga kura?
 
nilishangaa sana pale ambapo tahliso walitaka kukwamisha mazungumzo ya baadhi ya wanafunzi na mwenyekiti wa tume bahati nzuri jaji lubuva na wajumbe wa tume wanakubali kuwasikliza wawakilishi wa wanafunzi pale walikutana tarehe 6 June 2015 ila tahliso wakatokomea kusikojulikana
 
Acha upuuzi wewe....vyuo vinafungwa mwezi wa saba...zoezi la uandikishaji linamalizika mwezi wa saba mwishoni ili kupisha tarehe za kampeni. Sasa hao wanavyuo popote walipo wanashindwaje kujiandikisha hapo!?!

Msifanye wanachuo ni mambumbumbu kama nyinyi! Hao ni watu wazima tena ni wasomi. Wanajua nini wafanye. Wao wenyewe hawalalamiki halafu nyinyi huku mitaani na elimu zenu za shule ya msingi ndio mnajifanya wajuaji?

Pia kuhusu kupiga kura, vyuo vyote nchini mpaka ifikapo tarehe ya uchaguzi vinakuwa vimefunguliwa. Sasa hapo kuna shida gani? Maana kama kweli mwanachuo ana lengo la kupiga kura ni wazi anapaswa huo muda awe kwenye maeneo yake aliyojiandikisha.
 
Hao ndio viongozi wa TAHLISO.
 
Attachments

  • 1433652191603.jpg
    1433652191603.jpg
    98.7 KB · Views: 244
Acha upuuzi wewe....vyuo vinafungwa mwezi wa saba...zoezi la uandikishaji linamalizika mwezi wa saba mwishoni ili kupisha tarehe za kampeni. Sasa hao wanavyuo popote walipo wanashindwaje kujiandikisha hapo!?!

Msifanye wanachuo ni mambumbumbu kama nyinyi! Hao ni watu wazima tena ni wasomi. Wanajua nini wafanye. Wao wenyewe hawalalamiki halafu nyinyi huku mitaani na elimu zenu za shule ya msingi ndio mnajifanya wajuaji?

Pia kuhusu kupiga kura, vyuo vyote nchini mpaka ifikapo tarehe ya uchaguzi vinakuwa vimefunguliwa. Sasa hapo kuna shida gani? Maana kama kweli mwanachuo ana lengo la kupiga kura ni wazi anapaswa huo muda awe kwenye maeneo yake aliyojiandikisha.

mkuu acha kujivua nguo. ongea mengine nakubaliana na wewe ila kuhusu kupiga kura CCM 2010 walichelewesha boom ili vyuo visifungue kabla ya uchaguzi.
vyuo karibia vyote vilifunguliwa november
 
nilishangaa sana pale ambapo tahliso walitaka kukwamisha mazungumzo ya baadhi ya wanafunzi na mwenyekiti wa tume bahati nzuri jaji lubuva na wajumbe wa tume wanakubali kuwasikliza wawakilishi wa wanafunzi pale walikutana tarehe 6 June 2015 ila tahliso wakatokomea kusikojulikana

Wakafikia maazimio gani mkuu kama unahabari yoyote ili nihakikishe dogo haachi silaha ya kuangamiza magamba
 
Ndugu mdau hebu toa maoni yako kuhusu hii TAHLISO.

Kumbe ndio maana boom linachelewa, mpka leo wanachuo hawajui watajiandikishaje kwenye daftari la kura. Kumbe TAHLISO ipo chini ya UVCCM??

THIS IS SHAME!

Kama ni kweli vijana mtakuwa mmetusaliti waasisi wa TAHLISO. Mwaka 2003/2004 tulipoanzisha umoja huu hakukuwa na itikadi za kisiasa kabisa. Vikao tulivyokaa NIT, IFM, DIT nk huku UDSM Mlimani chini ya Kayombo wakitubeza, tuliamini tunajenga Jumuiya ya Wanafunzi wa vyuo vya Elimu juu wote.

Vijana mjitathmini na kurudi kwenye mstari na endapo maoni/dhana hii si ya kweli, kijana omba radhi mara moja. Usaliti ktk Jumuiya/Umoja ni sumu mbaya sana.
 
Back
Top Bottom