hapa ndipo ninapomkumbuka Rutashubanyuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hapa ndipo ninapomkumbuka Rutashubanyuma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtu Mmoja, May 23, 2011.

 1. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  aliposema kwenye thread moja kuwa UNITED IN ISLAM, ECONOMICALLY ASUNDER!!
  [​IMG] Rais Jakaya Kikwete akimfariji mjane wa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Athumani Hassan Mwinjuma, Mama Mwajuma Mwinjuma alipokwenda kumpa pole kwa kufiwa na mumewe. Kushoto ni mke wa Rais, Salma Kikwete. (Picha na Muhidin Michuzi).

  SOURCE: HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,698
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa napita tu, sirudi tena. Kwaherini.
   
 3. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wasalimie huko mkuu
   
Loading...