Fyengeresya
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 750
- 337
Ufafanuzi.
1. Kuulizana majina ya viongozi ilikuwa enzi za zidumu (wakati wa siasa za kutukuzana) siku hizi kaka kinacho matter ni duties and responsibilities za portifolio na sio jina la mtu, kwanza hao hubadilika kila wakati. Inaelekea bado una athari ya kutu ya kale. badilika.
2. Aina za uraia ni nne ambazo zinawekwa katika mafungu makubwa mawili (fanya utafiti) kumwambia mtoto kuna aina mbili ni sawa kufuatana na ngazi ya elimu aliyopo. (waandishi wengine husema tatu)
3. Kijani haijawekwa hadi Zanzibar angalia- wewe una makengeza.
4. Kitabu ulichonacho kiliandkwa mwaka 2010 wakati serikali haijatoa ramani mpya, baada ya serikali kutoa ramani mpya hatuwezi (na haiwezekani) kuja kuvikusanya vitabu vyote huko mashuleni ili tuweke ramani mpya. hebu tafuta kitabu hicho hicho toleo la 2013.
5. Chaper 2 inayohusu katiba imekidhi objectives za syllabus. Tatizo lako ulitaka nii-copy na ku-paste katiba nzima kama ulivyofanya wewe katika kile kitabu chako ambacho ni black and white. Syllabus inaelekeza kueleza muundo wa katiba ya JMT hicho ndicho nilichofanya. hao waandishi wenzako na wewe mmeelezea muundo au mmekopi katiba na kuiweka kitabuni?
6. Katika structure ya utawala wa jamhuri ya muungano iliyopo uk wa 14 ulitakaa nimweke makamu wa rais chini ya Waziri Mkuu, unahitaji msaada.
7. Katika mfumo wa uandishi kuna kitu kinaitwa "errata". hiyo ni taarifa ya mwandishi kumjulisha msomaji marekebisho ya uchaapaji yaliyofanya ndani ya kitabu. Hii ndiyo best practice inayoonyesha perfection na inakubalika duniani pote. kuliko kumwachia msomaji agundue.
8.Katika mfumo wa uandishi wa vitabu duniani hakuna utaratibu unaomlazimisha mwandishi aonyeshe roman number. Hivi umeshindwa kuona kuwa ukurasa wa kwanza ni YALIYOMO.
9. chapter za kitabu kukaa kushoto au kullia hapo hujaeleweka . Lakini inatosha kukuambia kuwa kuna vitabu vya india ambavyo chapter imewekwa chini ya kitabu.
Kwa taarifa yako kwa mujibu wa walimu wenzako hicho kitabu hakiwezi kushindana na chochote cha uraia drs la saba maana kimesheheni utafiti katika mambo ambayo nyie mmepotosha mf. mambo ya bunge hususani uchaguzi wa spika na muundo wa sekretarieti ya mkoa.
Nafikiri wewe ndo unamakengeza ambayo yamekufanya uwe kipofu wa mawazo. Hivi huwezi tumia lugha nyingine mpaka unatumia lugha utafikiri mvuta bangi? Kwa mawazo uliyonayo nina wasiwasi na kitabu chako, maana maneno , matendo na mawzo ya mwandishi huakisiwa na anachokiandika lakini nifikiri kwamba ni mtu mwema kumbe mtu hovyo kabisa.