Hapa napo kuna ukweli-tutafakari pamoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa napo kuna ukweli-tutafakari pamoja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IGWE, Feb 8, 2011.

 1. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Jasusi moja nguli la CIA lilisikika likiteta "kwakua waafrika waliosoma wanaaminiwa sana na wenzao ambao hawajasoma,na kwakua ni rahisi zaidi kumtawala mwafrika aliyesoma kuliko ambaye hajasoma basi tuendelee kuwapa hii kasumba ya kusoma/ku wa_westnise ili tuwatawale kirahisi".

  What is your take:Ukijua wakoloni walipata upinzani mkubwa kutoka kwa mababu zetu eg;mkwawa,isike,chaburuma,mirambo,kinjekitile etc;ili kulinda rasilimali zetu na siku hizi tunaona mikataba mibovu ikisainiwa na hao tuliowapa dhamana ya kutuongoza na wasomi eg:richmond,dowans,iptl,watergate,uongozi wa kina mabuttu,omari bongo,ben ali n.k
   
 2. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa kuna ukweli.
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  lisemwalo lipo
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ni kweli kabisa, ukiangalia marekani wanachukua watanzania 20 kila mwaka kwenda kufundisha kiswahili kule marekani, na pia vyuo vingi vya ulaya wana kozi ya kiswahili na inasomwa sana na wazungu nadhani malengo yao ni kurudi afrika kwa kasi, angalia mbuga zetu za wanyama wapo wengi tu na utashangaa ni askari wkt ni wazungu na pia wanajitahidi kujipachika kwneye sekta nyingi hapo Tanzania sasa sijui kama serikali inajua hili au ndio hivo wanawaingiza kwa mgongo wa nyuma.Nchi inauzwa kimya kimya
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  mmh tafakari .. chukua hatua...haki................
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Katika makosa ambayo wazungu waliyafanya wakati wanatutawala ni pamoja na kumpa elimu mtu mweusi. Asilimia kubwa (kama si wote) ya wapigania uhuru wetu walisomeshwa Ulaya na Serikali za kikoloni na waliporudi nyumbani wakaanza harakati za kudai uhuru. Hoja kwamba wazungu wanawapa waafrika elimu ili iwe rahisi kuwatawala napingana nayo, ila naweza kusema tatizo letu kubwa ni kasumba ya kupenda kuonekana bora dhidi ya waafrika wenzetu hususani wale ambao hawakubahatika kupata elimu.

  Na kwa kutambua ujinga wetu, basi wazungu wanajitahidi kujenga urafiki na viongozi (wasomi) waliopo madarakani na kuwadanganya na visafari vya kwenda kutazama Basketball Marekani, basi wao wanajiona tayari wameshakuwa wazungu. Huku wanagawa rasilimali zetu kwa "wastaarabu" wenzao..

  Kama Nyerere (Uingereza) Amical Cabral (Ureno) A. Netto (Ureno) na wengineo baada ya kupata elimu zao Ulaya wangeamua kujinufaisha wao binafsi badala ya kujitoa kupigania uhuru, basi ningekubaliana na hoja yako.
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye blue hapoo ndipo kwenye ukweli wenyewe wa udhaifu wetu waafrika,na wenzetu wazungu wamepaona na wanatumia vizuri sana huo unaouita udhaifu tunaoupata eti baada tu ya kusoma(ku wa-westnise),..actually sio weakness ni upuuzi tu wa watu fulan kupenda kujiona eti wao ni zaidi ya wengine baada ya kujua kusoma na kuandika.....if we cannot apoligise of being (reason for the pain)wrong_then shame be upon us.
   
Loading...