cantonna
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,120
- 439
Kiukweli nikiwa mdau wa Elimu pamoja na Michezo sijapendezewa na kuzuia michezo ya Umiseta pamoja na Umitashumta kwa kigezo pesa zake ambazo ni kama 1.5 billion kuzipeleka ktk kununua madawati kwa ajili ya kukalia wanafunzi mashuleni.Yupo sawa lakini si sahihi kwa kuzingatia umuhimu wa michezo kwa wanafunzi mashuleni!!
1)Simuungi mkono kwa hili kwa sababu, linapelekea kuua vipaji vya vijana wetu kwa kuwanyima haki ya kuonyesha vipaji vyao katika michuano mikubwa!!
2)Nasema hakujipanga kufanya Elimu bule sababu namuona namna anavyohangaika kusolve issue ndogo tu ya madawati mashuleni je, vitabu mashuleni bado!!!
3)Elimu bure ilihitaji mchakato wa muda mrefu kuuanzisha, ndo maana tunaona kwa namna anavyohaha!!
4)Je kubomoa sehemu moja na kuziba sehemu nyingine ni sahihi.... Unaua michezo mashuleni kisa madawati..... Hii kwakweli inatikea Tz pekee!!
5)Unaweza ona michezo mashuleni haina umuhimu kwa akili fupi, lakini kwa mwenye akili kubwa anaujua umuhimu wa michezo mashuleni!!
Victar Wanyama ambae naye pia ni product ya umiseta ya kenya leo hii analipwa million 34 za Kenya ambazo ni sawa na million 744 za kitanzania, so huyu mchezaji ana uwezo wa kumaliza tatizo la madawati Tanzania ndani ya mishahara miwili tuu!! Sasa sisi mkuu wa kaya anaminya mianya ya kuzalisha wa kina Wanyama wa Tanzania duu!!!
Ni lazima tulikemee hili, kama Elimu bure imemshinda arudishe tuu mfumo wa kuchangia kama zamani na siyo kubomoa sehemu moja na kujenga sehemu nyingine!!
NI MTIZAMO TUU SO MSIJENGE CHUKI!!!