Hapa nani mwenye akili kati ya Binadamu na mbuzi?

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,201
3,322
Salaam,
Wana MMU! Nimekuwa nikipata shida sana kichwani kuhusiana na jambo hili. Hivi Mungu aliweka viungo hivi kwa ajili ya uzazi au starehe!? Kwa binadamu viungo hivi wengine ni rasirimali zinazoendesha maisha yao kabisa kwa me/ke. Binadamu pamoja na kutumia viungo hivi kupata watoto,lkn kwa hali ilivyo hivi sasa viungo hivyo vinatumika zaidi kwa starehe na biashara! Ndo maana siku hizi hata matumizi ya 0717 yanaonekana ya kawaida kabisaa! Lkn kwa wanyama ni tofauti kabisa,mfano mbuzi; kwanza anahitaji mwanaume wakati tu wajoto(hali ambayo ipo pia wanawake) na hata dume la mbuzi halimpandi(kumgegeda) mbuzi hadi awe na ule ute unaovutika kuonyesha ana genye za kutosha! Hapo ndo tendo hufanyika. Kikishapita kipindi hicho cha joto mbuzi hagegedwi tena awe na mimba au la! Hapa ndo kwenye swali langu nani anatumia akili hapa!?? Nataka kujifunza wala sina nia mbaya.
Nawasilisha!
 
Hata jogoo naye hapandi vifaranga mpaka wawe wamekomaa,Ndio fukuza fukuza inaanza.Wanyama na ndege sasa wana akili zaidi ya binadamu aliyetunukiwa utajiri Sifa hiyo.Fikiria anaye mtongoza mwanaume mwenzake!
 
Ahsante Mkuu kwa nyongeza na maoni yako. Wale ambao wanaamini ktk ngono lazima watakuja wamejaa povu hapa!
 
Pumba tupu!
Mkuu siyo lazima ucoment kila thread unayoiona zingine soma tu kisha endelea mbele. Huwezi kuwa maarufu hapa kwa kutukana. Tofauti zetu za mitizamo ndo zilizoifanya dunia iwe hivi unavyoiona. Acha dharau!
 
Huo mfano uliyoutoa wa mbuzi kama nayo ni akili ya wanyama kushinda binadamu,basi mie nasema hawa wanyama wametuzidi sana akili kiasi kwamba kuku anampanda hadi mama yake.
 
Hayq matatizo yooooote na uchafu unao endelea kufanyika....
Ulianzia si pengine.....bali pale
Bustani ,
Ya edeni..
Japo si kila unaloona linatendeka sasa lilitendwa huko pia ...la hasha...
Mambo mengine ni new advancement ya ile dhambi ya kwanza
Kutendeka.
 
Huo mfano uliyoutoa wa mbuzi kama nayo ni akili ya wanyama kushinda binadamu,basi mie nasema hawa wanyama wametuzidi sana akili kiasi kwamba kuku anampanda hadi mama yake.
Mkuu hapa sina maana kwamba tabia zote za wanyama ktk mahusiano ni bora kuliko binadamu la hasha! Nnachosema hapa ni yale matumizi ya viungo hivyo kati yetu tunavyovitumia na hawa wanyama. Hata hoja yako,imetokana na binadamu kuchakachua msingi wa tendo lenyewe kwa kuweka dhana ya starehe badala ya kuzaa watoto tu.
 
Kusema kwamba hivyo viungo ni kwa ajiri ya kuzaa tu na si starehe,mi nafikiri hayo ni mawazo yako tu tena ambayo si sahihi.
 
Back
Top Bottom