magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,201
- 3,322
Salaam,
Wana MMU! Nimekuwa nikipata shida sana kichwani kuhusiana na jambo hili. Hivi Mungu aliweka viungo hivi kwa ajili ya uzazi au starehe!? Kwa binadamu viungo hivi wengine ni rasirimali zinazoendesha maisha yao kabisa kwa me/ke. Binadamu pamoja na kutumia viungo hivi kupata watoto,lkn kwa hali ilivyo hivi sasa viungo hivyo vinatumika zaidi kwa starehe na biashara! Ndo maana siku hizi hata matumizi ya 0717 yanaonekana ya kawaida kabisaa! Lkn kwa wanyama ni tofauti kabisa,mfano mbuzi; kwanza anahitaji mwanaume wakati tu wajoto(hali ambayo ipo pia wanawake) na hata dume la mbuzi halimpandi(kumgegeda) mbuzi hadi awe na ule ute unaovutika kuonyesha ana genye za kutosha! Hapo ndo tendo hufanyika. Kikishapita kipindi hicho cha joto mbuzi hagegedwi tena awe na mimba au la! Hapa ndo kwenye swali langu nani anatumia akili hapa!?? Nataka kujifunza wala sina nia mbaya.
Nawasilisha!