Hapa nafanyaje? Nimeenda Gym siku ya kwanza kwa sasa nasikia maumivu na nimepata uvimbe

Kijana 1

Member
Jun 11, 2020
6
0
Habari,

Juzi nilienda gym na nikapiga chuma Sana kwa kiasi fulani, lakin Jana na Leo nimeshindwa kwenda kutokana na maumivu ya mikono sehemu ya gimbi na Kwenye viungio,Na mkono wa kushoto ni kama umevimba kwa mbaali, Nilikuwa nauliza hii hali ni kawaida au ? Na insababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom