Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Umeongea jambo la msingi sana.Mi mwenyewe niliona ila kwa sababu mi Mwanaume nikaendelea kuishi maisha yangu. I suggest you do the same
Sasa ule mdundiko anaoishi nao unategemea niniMose nae ana maneno ya kwenye kanga
Huyo mose muda wote anashinda na wanawake na yeye amekua na tabia za kike
Ana wivu wa kike,haikua na haja ya kupanic bora angepanic harmonize mwenyewe
Sasa wewe mbona unaonekana tena umepanic zaid shda nn!!?
HahahahaHili povu sio la nchi hii hahahaaa team kupanic welcome
Hahahaha
Umetoa povu mpaka ikabidi nikujulie hali.
Ukute Iyobo imemuuma sana
Ana mtetea rafiki yake jaman hata kumpongeza kwa hiloHahaa baada ya kushushuliwa kila kona kapost picha ya nyani kabisa. Bifu zingine za kujitakia. Angekaa kimya tu