Hapa Kwetu mtendaji wa kata mwenye elimu ya cheti ni bora kiliko mwalimu mwenye masters degree

The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,381
2,553
Sekta ya elimu ndio in awatumishi wa uma wenye elimu ya juu kabisa. Kwa mfano kwa shule za sekondari mwalimu mwenye elimu ya chini kabisa ni diploma. Wapo walimu wana Masters na PhD . Lakini cha kushangaza mtendaji wa kata mwenye elimu ya cheti kutoka Hombolo ana mamlaka na hadhi kuliko hawa wasomi waliobobea kwenye masomo yao kama Physics, Mathematics , Biology,Chemistry na n.k .

Kwa macho yangu nikiwa kwenye kikao cha wazazi katika shule moja ya Sekondari. Nilimuona mtendaji wa kata husika akiwachimba mkwara walimu na kuwaambia kuwa yeye ni boss wao kwenye hiyo kata.
 
Sekta ya elimu ndio in a watumishi wa uma wenye elimu ya juu kabisa. Kwa mfano kwa shule za sekondari mwalimu mwenye elimu ya chini kabisa ni diploma. Wapo walimu wana Masters na PhD . Lakini cha kushangaza mtendaji wa kata mwenye elimu ya cheti kutoka Hombolo ana mamalaka na hadhi kuliko hawa wasomi waliobebea kwenye masomo yao kama Physics, mathematics , Biology,Chemistry na n.k .

Kwa macho yangu nikiwa kwenye kikao cha wazazi katika shule moja ya Sekondari. Nilimuona mtendaji ya kata husika akiwachimba mkwara walimu na kuwaambaia kuwa yeye ni boss wao kwenye hiyo kata.
Kuna kitu nilitaka niandike nikasema kilio cha katiba mpya hakijaskikizwa so nikae kimyaa
 
Tatzo la walimu wengi hawajiamini, nliwahi kwenda halmashauri moja siku moja, nikakuta mwalimu ananyanyaswa na dada wa masijala wa kidato cha nne. Anamwambia aje baada ya wiki moja ndio atamfutie file lake ili ampe barua. Ile siku nlimwambia palelepale yule dada, kwamba ningekua mimi labda leo ndio ingekua mwisho wa utumishi wangu. Mtu na degree yake lakin mnyonge na anaonewa na kila anaejisikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sekta ya elimu ndio in a watumishi wa uma wenye elimu ya juu kabisa. Kwa mfano kwa shule za sekondari mwalimu mwenye elimu ya chini kabisa ni diploma. Wapo walimu wana Masters na PhD . Lakini cha kushangaza mtendaji wa kata mwenye elimu ya cheti kutoka Hombolo ana mamalaka na hadhi kuliko hawa wasomi waliobebea kwenye masomo yao kama Physics, mathematics , Biology,Chemistry na n.k .

Kwa macho yangu nikiwa kwenye kikao cha wazazi katika shule moja ya Sekondari. Nilimuona mtendaji ya kata husika akiwachimba mkwara walimu na kuwaambaia kuwa yeye ni boss wao kwenye hiyo kata.
Aisee
 
Mwalimu anafundisha shule yake moja lakini mtendaji kata anafuatilia maendeleo kata nzima yenye taasisi zaidi ya moja,ukitaka utambulisho wa barua za kiserikali ngazi ya kata ni mtendaji kata atakutambulisha na sio mwalimu,sijui ulitaka kumaanisha nini?so mtendaji anamamlaka kiutawala kuliko mwalimu
Structure zetu za utawala ni mbovu. Kila mtu ni boss wa mwalimu.
 
AFISA MTENDAJI WA KATA DARAJA LA II (WARD EXECUTIVE OFFICER GRADE II) – NAFASI 20

1.1 MAJUKUMU YA KAZI

Atakuwa Mtendaji Mkuu wa Kata na kiungo cha Uongozi kwa Idara zote katika kata na atashughulikia masuala yote ya kata

• Atakuwa Mhamasishaji mkuu wa Umma katika mikakati mbalimbal.i ya uzalishaji,

mali, kuondoa njaa na Umasikini.

• Atakuwa ni Katibu wa kamati ya maendeleo ya kata.

• Ataratibu na kusimamia upangaji wa shughuli za maendeleo ya kata, vijiji na Mtaa.

• Atatafsiri sera na kusimamia utekelezaji wa sheria ndogondogo katika Kata yake.Atamsaidia Mkurugenzi Kuratibu na kusimamia shughuli za Uchaguzi katika Kata.

• Kumsaidia na kumwakilisha Mkurugenzi katika kusimamia maendeleo ya eneo lake.

Kusimamia utendaji kazi wa wataalamu na watendaji wengine katikangazi ya Kata.

• Kuratibu na kuandaa taarifa za utekelezaji na kuziwasilisha kwa mkurugenzi na nakala kwa Katibu Tarafa.

Atakuwa mwenyekiti katika vikao vinavyowahusisha wataalamu na watendaji wa vjiji, na NGO’S katika kata yake.

• Atakuwa Msimamizi na mratibu wa takwimu zote zinazokusanywa katika vijiji, vitongoji, na kata yake.
 
Hafu bado watu wanamchukulia pouwa mtendaji kata,na kama akiamua kutumia madaraka yake kisawasawa lazima watu wapoteane
 
Back
Top Bottom