Hapa kuna haja ya mtu kutubu kwa Mchungaji Msigwa...

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Haha.....ktk haya majumuisho ya vituko..ni wazi kuna mtu anahitaji tubu kwa mch.Msigwa..kisha kwa watanzania.

View attachment 125326View attachment 125326Kwa maigizo haya ....itarejea kweli?

kumtambulisha Asha Migiro......
IMG_2518.jpg
 
Mchungaji msigwa atawasemehe wakikiri dhambi zao na kuwapa upako...wakijaribu kimbia ukweli na kumtusi mchungaji msigwa watateseka sana,watahangaika sana.
 
Ni tubu gani utakayoipata kwa mzinifu na muongo?? Haya yanafanyika kwa nyie mnaoabudu hao wazinifu na waongo!
 
ni fedhea sana kufanya sherehe ya kitaifa ya kuazimisha miaka 53 ya uhuru kualika na wageni waje kutafuna keki ya taifa ihali miundo mbinu mibovu hivi.
 
Ni tubu gani utakayoipata kwa mzinifu na muongo?? Haya yanafanyika kwa nyie mnaoabudu hao wazinifu na waongo!

Kuwa kupotea uhai wa wale viumbe anahusika..na kutotii mwito wa Mchu.Msigwa..kutamsumbua sana Kinana..atapta shida kuliko Kinana Original.
 
Jamaa mwenye jembe hajui ktk kuchimba kwake anataka achieve nini..tairi zilizopo ktk mazingira magumu ni za upande wa kushoto kwa mtazamaji.Ila anchimba upande ulio flat kabisa.

HIvi ndivyo miCCM haina malengo, wala haijui inatupeleka wapi?
 
Miaka 50 tangu tupate uhuru, barabara hazipitiki hasa maeneo ya vijijini. Watanzania bado wana ng'ang'ania maccm!
 
Kuwa kupotea uhai wa wale viumbe anahusika..na kutotii mwito wa Mchu.Msigwa..kutamsumbua sana Kinana..atapta shida kuliko Kinana Original.

Yale yale mapimbi wa Bavicha mnakurupuka tu hamna nyimbo; yeye huyo Msigwa ana machafu mangapi mpaka amhukumu Kinana? Msigwa hana sifa ya uchungaji hata moja ni mganga njaa kama wewe hamna nyimbo!
 
Kupinga hoja onyesha maovu ya msigwa kwa haya mbn wewe ndy pimbi?
 
haha..kwani machafu yake yanondoa machafu ya Kinana?Kinana siku hizi akipita maeneo ambayo Frankfrut Zoologocal Society.Huwa wanawasha trackers zao za wanyama wanaowafanyia tafiti na hata wale wasiowafanyia utafiti ili kuwalinda.

Kwani kuganga njaa ni uchafu..wewe unaganga shibe?Hembu warudishie nyumbu logic yao.Afadhali Nyumbu wanaweza itumia kufika mara na kurudi kila mwaka.
 
Chama linaweza kuwa jina lake la kweli,mCCM wana majina y akijinga wakidhani wanajipa sifa na uzalendo..utakuna majina km kagera,vita, chama, etc
 
Chama mashine kubwa nipo hapa kuwaelemisha waganga njaa kama wewe ili muondakane na ufinyu wa akili na mawazo; unakesha kutwa kucha JF kula kwa mjomba kulala kwa shangazi wakati kahaba na mzinifu mkubwa kajipa mkopo wa zaidi ya milioni 140 ajijengee hekalu hivi huoni wako ni upimbi ambao hauna mfano??
 
Chama linaweza kuwa jina lake la kweli,mCCM wana majina y akijinga wakidhani wanajipa sifa na uzalendo..utakuna majina km kagera,vita, chama, etc

Kamanda Nicholas kwa kushusha nondo sikuwezi...unayapa magamba hard time
 
Jamaa mwenye jembe hajui ktk kuchimba kwake anataka achieve nini..tairi zilizopo ktk mazingira magumu ni za upande wa kushoto kwa mtazamaji.Ila anchimba upande ulio flat kabisa.

HIvi ndivyo miCCM haina malengo, wala haijui inatupeleka wapi?

Nimecheka sana kwa comment hii.
 
Back
Top Bottom