manywangari jean malonkwa
Senior Member
- Mar 17, 2016
- 193
- 188
Ukiiangalia Nchi yetu kwa sasa utagundua kila jini linajaribu kutengeneza na kulinda mubuyu wake. majini haya yamejitengenezea mibuyu kwa kipindi tofauti vya uhai wa taifa hili, sasa wenye Nchi wanaonekana kuanza kufumbuka macho, majini sasa kila moja kwa wkt wake linafanya kila liwezekanalo ili kusurvive.
Hapa kuna lile jini ambalo lina miaka 39 hili linatuhumiwa kwa kuwa ndo lina umri mkubwa na limetengeneza matatizo kibao ktk ardhi hili, sasa baada ya mtikisko mkubwa mwaka uliopita limeamua kutengeneza mbuyu mpya unaitwa hapa kazi, wameachana na ile mibuyu inayopendwa na lile jokaa lenye makengeneza, yule Mzee mweupe juu na hodari kwa utunz wa maigizo bila kumsahau yule Imba Imba.
Jini pa pili ni wale wazee wa business, hawa naskia walikuwa hawalipi kodi, naskia wametulisha visivolika na udanganifu kibao, naskia walishawahi kuyeyusha meli 65 pale bahari ya Hindi, mnaopenda kuogelea kuweni makini, maji ya bahari ya Hindi sasa kuna kipindi yanachemka hadi kufikia melting point ya Chuma, ndio! Meli 65 ziliyeyuka hapo shauri yenu!!. Hawa wanachokifanya sasa ni kulinda mbuyu wao usikatwe.
Jini la tatu ni wale jamaa wapinga kila kitu, hawa walikuwa na mbuyu maarufu, huu alikuwa haupikwi kabisa na ule mbuyu unaopendwa na joka la makengeza na zee la nywele nyeupe, lkn hawa hasa wale maarufu kwa kutinga magwanda waliuharibu mbuyu huu pale walipokubali mshambuliaji maarufu anayesemakana anapenda mibuyu ile ya kina joka kuhamia kwao, watu wengi wakapoteza imani, sasa wanajaribu kujenga mbuyu mpya , tatzo wkt wenzao wameshaupata, hawa bado hawajapata mbuyu mpya bado wanatapa tapa.
Mwisho ni mbuyu wa wachunga kondoo, hawa wao kambuyu kao naskia ni kwenye misamaha ya kodi, naskia ma range na ma hummer mpaka machopa yamepatikana huku nasikia wanamiliki bila maNGO kibao.
Matokeo yake taifa limekosa kuwa na lengo moja, kila mtu anacheza anavyojua, kila mtu wanakwenda kwa mwendo wake, huyu anafanya hiki, huyu anafanya Yale, cjui kama tutafika tumuombe mungu.