Hapa Kazi..........

Kichuya

Member
Jul 9, 2016
55
30
nchimbii.jpg
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba leo ameonyesha kweli yeye ni Yanga damu baada ya kuibuka ghafla kwenye mazoezi ya timu hiyo inayojiandaa kuivaa Medeama ya Ghana katika mechi ya Kombe la Shirikisho.

Mwigulu aliibuka katika mazoezi ya Yanga yaliyokuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani na kuwashangaza mashabiki waliokuwa hapo baada ya kuungana nao na kukaa chini kabisa.
 
Inaonekana amekuja kama mpenzi/mshabiki wa timu hiyo, ni haki yake kufanya hivyo kama raia/mshabiki wa timu.
 
Sasa mbona mashabiki wenzie mimacho yote kwake, wameshindwa kufuatilia kinachoendelea mazoezini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom