Hapa kazi tu najitolea kufanya kazi bila malipo.

fredj2

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
235
93
Habari zenu wakuu..nataka kupata uzoefu mbalimbali katika shughuli za kiuchumi,Makampuni au ofisi binafsi.
Nikipata short training i will do.
*kazi nilizopitia ni kinyozi, cashier n.k
*Elimu yangu kidato cha nne
*weka namba nikutafute kwa dar tu
 
Back
Top Bottom