Hapa kazi tu imegeuka shubiri kwa watanzania

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Mwaka huu mpaka uishe tutayaona mengi na kusikia mengi
Kufungiwa wabunge, kuzuiwa kuonyeshwa live, kubana matumizi yaliyopitiliza,
Hii speed imegeuka shubiri
 
Nyumbu mtajifariji sana , lkn ndiyo hivyo tena watanzania walishaikataa ukawa ndani ya sanduku la kura na hawatarudi nyuma
 
Mwaka huu mpaka uishe tutayaona mengi na kusikia mengi
Kufungiwa wabunge, kuzuiwa kuonyeshwa live, kubana matumizi yaliyopitiliza,
Hii speed imegeuka shubiri
Hicho cha kubana matumizi ndo kilichopelekea ukaja hapa
Utakuwa umepewa jelo Leo ee?
 
Watanzania hatukutegemeaga kabisa kama ipo cku tutampata raisi mwenye mapenzi na nia nzuri ya kuwatumikia wananchi .....acheni serikali ifanye yake, daima kiongozi bora mhimu ajue kutumia njia zote mbili, kidemokrasia na udikiteta pale inapohtajika, haya yote serikali yetu iliyopo madarakani imeyaonesha kwa kpindi , kifupi, hongera sana, tuipe mda maeneleo yako karibu yanakuja, maana baada ya dhiki ni faraja..........
Ama hakika maendeleo hayana chama........
 
Hilo ni funzo tosha kwa watz .mana kipindi cha kampen waliambiwa DCM no ileile wakashangilia wakaambia DCM mbele kwa mbele hapo makofi na vifijo vilikuwa balaa sasa ni mda wa ku-feel maumivu , wewe MTU anakwambia mimi ni mwuaji wewe unamxhangilia au ulijua wewe hatakuua? Acha maumivu tuyapate ili maranyingne tusirudie kfanya makosa
 
Hapa ni maigizo mwanzo mwisho. Juzi tu kumetangazwa chakula bure muhimbili, leo waziri kasitisha mpaka utafiti ukamilike. Hapo ndio najiuliza huwa hawafanyi tafiti kabla ya kukurupuka kutoa matangazo? Hakuna mawasiliano baina ya wahusika kabla ya kutangaza? Ishakuwa kwamba kila mmoja anataka aonekane mtendaji zaidi kwa kutoa kauli ambazo hana uhakika nazo? Mpaka matangazo yanarudiwa rudiwa je hao wahusika huwa hawasikii mpaka baada ya siku 4 ndio waje na kauli tofauti?

Bunge live ilikuwa hivyo hivyo kuwa gharama kubwa, watu walipojitolea kuonyesha live wakasitisha kabisa. Sukari ilisadikika ipo ya kutosha mpaka leo athari yake tunaiyona, alitangwaza mkurugenzi NSSF baada ya masaaa akafutwa, UDOM waziri kasema mgomo wa walimu kiongozi kasema mengine. Sasa hii ndio TZ na uhalisia wake wa kila jambo. Sasa hivi tuishi kwa kuuliza mara mbili kila jambo tutakaloambiwa.
 
Waliozoea magumahi kukaa vijiweni kujipatia vipato kwa njia ya figisufigisu kama kupokea mishara hewa, dili za wizi makaratasi feki
Ndo wamekamuliwaa hapa kazi tu.
Ni ukweli tutawaona wengi
 
Back
Top Bottom